Ndugu zangu poleni na majukumu na mleta kwenu mtanzania mwenzetu Mpenda watanzania, nasema mpenda watanzania kwa maana ya jinsi alivyo, na hii inatokana ma namna ya pekee anavyo jishugulisha na msuala yanayo husu jamii ya watanzania. Nimekaa na kutafari nimeona ni dhahiri mwenzetu huyu kwa matendo yake ni ukweli usio pingika juu ya upendo alionao juu ya mamilion ya watanzania waliogubikwa na lindi la umasikini.
Nahisi analo deni kwa watanzania, ndo maana halali, naamini ana kitu kizuri anataka kuwafanyia watanzania. Anayo ndoto si ya juzi wala jana, ana kitu atataka kuwafanyia watanzania, nahisi amejiapiza afe apone ili kuhitimu ndoto yake.
Ndugu zangu tunasema uungwana ni matendo, Je! Ndugu yetu Lowassa ni muungwana kwa watanzania? Lowassa na anatajwa kama mtu Tajiri, Je! lowassa anao ndugu! Je! kama ndivyo wametosheka na utajiri alionao na hatimaye sasa anaweza kuungawana na mamilion ya watanzania? Au ni kwa nia njema kwa maana ile ya chake chetu?
Je! Lowassa ni mtenda wema asiye ngoja shukrani, na anachofanya ni kwenda zake?
Lowassa anaonekana ni mwenye mapenzi na watanzania je! Watanzania wana mapenzi naye?
Je! Lowasa kwa watanzania anakubalika au anajikubalisha?
Ndugu zangu kwa nia njema kabisa tumjadili mwenzetu huyu kwa nia thabiti ya upendo wa dhati wenye Vimelea vyenye uzalendo na kutanguliza maslahi ya taifa letu mbele, Pasi na chuki,itikadi,kambi,dini,vyama wala makundi yetu yenye nia sawa naye katka harakat za kuusaka urais.
Kama anatupenda tumpede, kama anatujali tumjali, kama anatuonea huruma tumuunee huruma pia kwani ni mwenzetu.
Mwenzetu anamsemo anaopenada kuutumia,Tulifurahi pamoja,tulihuzunika pamoja na tutashinda pamoja