Lowassa anahitaji muda kuzoea siasa za mchangani

babutz

Member
Dec 24, 2016
68
80
Siasa za upinzani bila kujitoa ufahamu na kujiona upo juu ya sheria za nchi huwezi kupata kick kirahisi. Ukivunja sheria za nchi kwa kufanya fujo, ukakamatwa na polisi, ukaswekwa rumande na kufungulia mashtaka mahakamani ndo unakuwa umehitimu shahada ya juu ya siasa za upinzani.

Baada ya kupambana na jeshi la polisi na mahakamani ataibuka yule jamaa mwenye mdomo mkubwa kama chapat toka singida au yule jamaa mwenye jicho la kengeza toka hai kuhalalisha uvunjaji huo wa sheria kwa neno la kawaida tu ‘viongozi wa upinzani wanahujumiwa na serikali kwa kuwasweka rumande’ na ‘demokrasia inaminywa’.

Juzi Lowassa nae kaanza kujitoa ufahamu, kaanza kuvunja sheria na taratibu za nchi yetu, anafanya mikutano holela na bado yeye na chama chake wanataka wasikamatwe wala wasihojiwe kwa uhuni wanaoufanya.

Binafsi nawapongeza sana jeshi la polisi kwa kusimamia vema sheria za nchi yetu na kutekeleza kwa vitendo bila hofu wala uwoga misingi ya taifa letu na katiba yetu “binadamu wote ni sawa na hakuna mtu aliye juu ya sheria”. Ila siku juzi mlinikera sana jeshi la polisi mkoa wa Geita kwa kumwachia yule jamaa bila kumweka ndani hata siku moja ili kumkumbusha misingi ya sheria ya nchi yetu.

Jana nimemsikia mbowe akilaani vikali kukamatwa kwa lowassa, hee!!!!, ivi Lowassa au mbowe au chadema wana hatimiliki ya kuvunja sheria za nchi?.

Jeshi la polisi endeleeni kuhakikisha nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya kisheria, msiogope makelele ya makengeza wala domo chapatti, watanzania wanyonge mnaotulinda kila siku tupo nyuma yenu na kuwaombea sana.

Chapeni kazi naowaombeni mkimkamata tena Lowassa anavunja sheria mpelekeni kisongo wakatiane moyo na yule nabii hewa.
 
duuuh maskhara bensaa8 ameshapotea mazima na tunaenda kusahau
 
Siasa za upinzani bila kujitoa ufahamu na kujiona upo juu ya sheria za nchi huwezi kupata kick kirahisi. Ukivunja sheria za nchi kwa kufanya fujo, ukakamatwa na polisi, ukaswekwa rumande na kufungulia mashtaka mahakamani ndo unakuwa umehitimu shahada ya juu ya siasa za upinzani. Baada ya kupambana na jeshi la polisi na mahakamani ataibuka yule jamaa mwenye mdomo mkubwa kama chapat toka singida au yule jamaa mwenye jicho la kengeza toka hai kuhalalisha uvunjaji huo wa sheria kwa neno la kawaida tu ‘viongozi wa upinzani wanahujumiwa na serikali kwa kuwasweka rumande’ na ‘demokrasia inaminywa’.

Juzi Lowassa nae kaanza kujitoa ufahamu, kaanza kuvunja sheria na taratibu za nchi yetu, anafanya mikutano holela na bado yeye na chama chake wanataka wasikamatwe wala wasihojiwe kwa uhuni wanaoufanya.

Binafsi nawapongeza sana jeshi la polisi kwa kusimamia vema sheria za nchi yetu na kutekeleza kwa vitendo bila hofu wala uwoga misingi ya taifa letu na katiba yetu “binadamu wote ni sawa na hakuna mtu aliye juu ya sheria”. Ila siku juzi mlinikera sana jeshi la polisi mkoa wa Geita kwa kumwachia yule jamaa bila kumweka ndani hata siku moja ili kumkumbusha misingi ya sheria ya nchi yetu.

Jana nimemsikia mbowe akilaani vikali kukamatwa kwa lowassa, hee!!!!, ivi Lowassa au mbowe au chadema wana hatimiliki ya kuvunja sheria za nchi???. Jeshi la polisi endeleeni kuhakikisha nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya kisheria, msiogope makelele ya makengeza wala domo chapatti, watanzania wanyonge mnaotulinda kila siku tupo nyuma yenu na kuwaombea sana. Chapeni kazi naowaombeni mkimkamata tena Lowassa anavunja sheria mpelekeni kisongo wakatiane moyo na yule nabii hewa.

Wahi hospitali kabla hujaugua ukichaa unaowapata walioambukizwa ugonjwa unaowapata wale wa Umoja wa Kumuunga mkono Mag (UKUMA). Ni ugonjwa mbaya sana!!
 
Karibuni watalii mje kujionea nchi ya Tanzania, nchi iliyobarikiwa wapinzani wa matamko
 
Siasa za upinzani bila kujitoa ufahamu na kujiona upo juu ya sheria za nchi huwezi kupata kick kirahisi. Ukivunja sheria za nchi kwa kufanya fujo, ukakamatwa na polisi, ukaswekwa rumande na kufungulia mashtaka mahakamani ndo unakuwa umehitimu shahada ya juu ya siasa za upinzani.

Baada ya kupambana na jeshi la polisi na mahakamani ataibuka yule jamaa mwenye mdomo mkubwa kama chapat toka singida au yule jamaa mwenye jicho la kengeza toka hai kuhalalisha uvunjaji huo wa sheria kwa neno la kawaida tu ‘viongozi wa upinzani wanahujumiwa na serikali kwa kuwasweka rumande’ na ‘demokrasia inaminywa’.

Juzi Lowassa nae kaanza kujitoa ufahamu, kaanza kuvunja sheria na taratibu za nchi yetu, anafanya mikutano holela na bado yeye na chama chake wanataka wasikamatwe wala wasihojiwe kwa uhuni wanaoufanya.

Binafsi nawapongeza sana jeshi la polisi kwa kusimamia vema sheria za nchi yetu na kutekeleza kwa vitendo bila hofu wala uwoga misingi ya taifa letu na katiba yetu “binadamu wote ni sawa na hakuna mtu aliye juu ya sheria”. Ila siku juzi mlinikera sana jeshi la polisi mkoa wa Geita kwa kumwachia yule jamaa bila kumweka ndani hata siku moja ili kumkumbusha misingi ya sheria ya nchi yetu.

Jana nimemsikia mbowe akilaani vikali kukamatwa kwa lowassa, hee!!!!, ivi Lowassa au mbowe au chadema wana hatimiliki ya kuvunja sheria za nchi?.

Jeshi la polisi endeleeni kuhakikisha nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya kisheria, msiogope makelele ya makengeza wala domo chapatti, watanzania wanyonge mnaotulinda kila siku tupo nyuma yenu na kuwaombea sana.

Chapeni kazi naowaombeni mkimkamata tena Lowassa anavunja sheria mpelekeni kisongo wakatiane moyo na yule nabii hewa.

Kuna haja ya katiba kutamka kuwa upinzani ni uhaini na ikiwekana kufuta vyama vyote ili kuipa ccm utawala wa milele. Ila kama kama itaendelea kukubali uwepo wa vyama vingi (ccm kikiwa mojawapo) basi lazima kuruhusu wengine nao wafanye siasa. Vinginevyo siasa za nchi zitakuwa uharo mtupu.
 
Siasa za upinzani bila kujitoa ufahamu na kujiona upo juu ya sheria za nchi huwezi kupata kick kirahisi. Ukivunja sheria za nchi kwa kufanya fujo, ukakamatwa na polisi, ukaswekwa rumande na kufungulia mashtaka mahakamani ndo unakuwa umehitimu shahada ya juu ya siasa za upinzani.

Baada ya kupambana na jeshi la polisi na mahakamani ataibuka yule jamaa mwenye mdomo mkubwa kama chapat toka singida au yule jamaa mwenye jicho la kengeza toka hai kuhalalisha uvunjaji huo wa sheria kwa neno la kawaida tu ‘viongozi wa upinzani wanahujumiwa na serikali kwa kuwasweka rumande’ na ‘demokrasia inaminywa’.

Juzi Lowassa nae kaanza kujitoa ufahamu, kaanza kuvunja sheria na taratibu za nchi yetu, anafanya mikutano holela na bado yeye na chama chake wanataka wasikamatwe wala wasihojiwe kwa uhuni wanaoufanya.

Binafsi nawapongeza sana jeshi la polisi kwa kusimamia vema sheria za nchi yetu na kutekeleza kwa vitendo bila hofu wala uwoga misingi ya taifa letu na katiba yetu “binadamu wote ni sawa na hakuna mtu aliye juu ya sheria”. Ila siku juzi mlinikera sana jeshi la polisi mkoa wa Geita kwa kumwachia yule jamaa bila kumweka ndani hata siku moja ili kumkumbusha misingi ya sheria ya nchi yetu.

Jana nimemsikia mbowe akilaani vikali kukamatwa kwa lowassa, hee!!!!, ivi Lowassa au mbowe au chadema wana hatimiliki ya kuvunja sheria za nchi?.

Jeshi la polisi endeleeni kuhakikisha nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya kisheria, msiogope makelele ya makengeza wala domo chapatti, watanzania wanyonge mnaotulinda kila siku tupo nyuma yenu na kuwaombea sana.

Chapeni kazi naowaombeni mkimkamata tena Lowassa anavunja sheria mpelekeni kisongo wakatiane moyo na yule nabii hewa.

Kama ccm ina uhalali wa kuongoza, woga wa nini?!
 
nashauri,kama uwepo wa upinzani na fikra tofauti na za siri-kali ni dhambi..basi ni bora tufute vifungu vya sheria ya mwaka '92 ndani ya katiba ya jamhuri ya muungo wa tz na turudishe vile vifungu vya chama kimoja,mgombea mmoja..
 
LOWASSA KWELI ANAHITAJI SEMINA KUENDANA NA SIASA ZA UPINZANI, MAANA ANAJTOA UFAHAMU KANA KWAMBA NAYE AKILI ZIMEFYATUKA..
 
Back
Top Bottom