Lowassa amtumia JK vibaya imegundulika.

Dua bado halijagawanywa, ila ni hisia zangu kuwa endapo Joseph atarudi (kama alivyoombwa na wana Monduli) ukizingatia kuwa wakazi wa hapo wameonesha kutaka kulirudisha jina la Sokoine Bungeni, itakuwa vigumu kwa Lowassa naye kugombea jimbo hilo hilo. Kwa vile huo utakuwa ni mtihani usio wa lazima, basi tume ya uchaguzi itakapogawanya majimbo kabla ya uchaguzi wa 2010 basi jimbo la uchaguzi la Monduli laweza kugawanywa kwa Monduli Juu, au Chini au Kaskazini na Kusini..
 
Mzee Mwanakijiji

Hivi kazi ya kugawanya majimbo huwa ni ya tume ya uchaguzi? Nilifikiri wao kazi yao haihusiani na kugawa majimbo.
 
Back
Top Bottom