Lowasa, Sita, Mkapa....

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
naona watu tunamshambulia lowasa na mkapa ila mtu mwingine amabae imekula kwake ni sita na hilo ni pigo kubwa kwa kundi la akina nape na hapa jk amecheza karata nzuri sana sababu sitta ndie aliefungua kampeni tena ya kata sio ubunge ya kirumba na kufunga na kuambulia patupu na lowasa na mkapa hao inajulikana hapa makundi yote chali ni bora sitta asingekwenda kirumba amejiaibisha....

Ila sasa ndo wajue hata wamweke nani watu ccm wameshaichoka tusubiri vita ndani ya chama wote sitta lowasa wanautaka ugombea urais kupitia ccm na wote hoi...
 
Pole ni kwa Mkapa zaidi. Yule mzee Arumeru imemmaliza na kumuweka wazi zaidi. Hakuna majuto kwake zaidi ya haya.
 
naona watu tunamshambulia lowasa na mkapa ila mtu mwingine amabae imekula kwake ni sita na hilo ni pigo kubwa kwa kundi la akina nape na hapa jk amecheza karata nzuri sana sababu sitta ndie aliefungua kampeni tena ya kata sio ubunge ya kirumba na kufunga na kuambulia patupu na lowasa na mkapa hao inajulikana hapa makundi yote chali ni bora sitta asingekwenda kirumba amejiaibisha....ila sasa ndo wajue hata wamweke nani watu ccm wameshaichoka tusubiri vita ndani ya chama wote sitta lowasa wanautaka ugombea urais kupitia ccm na wote hoi...

Walimrudisha Dr Slaa nyumbani (CCM) na kumsimamisha vipi atapigiwa kura? Ni swali tu maana hata Wasira alikuwa mpinzani
 
We Vipi ???? kwani hukujua kuwa Mkapa nalo ni GAMBA tena gamba kweli kweli ambalo haliozi kirahisi hata ukilivua labda ulichome moto
 
CCM ya magamba Walipaanda kejeli, matusi, kashfa, rushwa na mavuno yake ndio hayooo HATA KISOMO CHA NGUMBARU HAKIWAFAI TENA
 
Dr Slaa hawezi kufanya upuuzi wa kurudi ccm. na kama iatatokea hivyo atakuwa kajimaliza kabisa . ccm imechafuka kupata mtu wa kuitakasa na kuwa safi kuingia katika uchaguzi 2015 si jambo lahisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom