Lowasa: "Nape tumepishana kwenye siasa Lakini napenda mtu anayesimamia anachokiamini hasa Kwenye umri Wenu"

Hata Naibu Waziri wa Afya Dr Molle kaandika kuwa Chadema walipokuwa wanataka kuleta vurugu za kupinga matokeo aliwaambia msimchezee Amiri Jeshi wakati huo Mollel akiwa Mbunge wa Chadema

nakumbuka story za kila mtu aliambiwa hiki na kile wakati wa Msiba wa Ruge

na Mie Ngoyai aliwahi kuniambia tusichezee amani ya Nchi kwa kuwa ikiharibika madhara yake hayavumiliki
 
Hata Naibu Waziri wa Afya Dr Molle kaandika kuwa Chadema walipokuwa wanataka kuleta vurugu za kupinga matokeo aliwaambia msimchezee Amiri Jeshi wakati huo Mollel akiwa Mbunge wa Chadema

nakumbuka story za kila mtu aliambiwa hiki na kile wakati wa Msiba wa Ruge
Basi tutasikia mengi
 
Back
Top Bottom