Lowasa na ugawaji wa mbuzi wa maziwa Bangata Arusha

KITENGE KOFIA

Member
Oct 14, 2012
35
24
Wakazi wa bangata wamelala masikini wameamka tajiri...mamvi amemwaga mafuso ya mbuzi wa maziwa kwa wakazi wa bangata usa river kwa malipo ya kupigia mgombea wa udiwani ccm,ivi mamvi ukikosa uraisi utaenda wapi.....vp naigeria huendi,prophet tb joshua alijua ulikuwa unataka kumtumia..akakupiga chini
 
EL ni mwanasiasa anayejua kutumia kete zake vizuri hasa! Asikudanganye mtu huyu bwana mbegu anazopanda ziko zitakazoota na kuzaa. That's kind of politicians' weapons. Watu wanatumia umaskini wao wenyewe kujinyonga, na maisha yanaendelea kuwa magumu.
 
Bangata ni vijizee ndo wamejitokeza kupiga kura..subiri wajiandikishe upya countrywide muone shughuli.Hongera chadema kwa kupata kata kadhaa ktk tume mbovu na wali wa kuhonga wa magamba,mmejitahidi.
 
Elimu kubwa zaidi kwa wananchi inahitajika bila kuchoka.
Ni safari ndefu Inabidi kuongeza mwendo, tutafika.
 
Wakazi wa bangata wamelala masikini wameamka tajiri...mamvi amemwaga mafuso ya mbuzi wa maziwa kwa wakazi wa bangata usa river kwa malipo ya kupigia mgombea wa udiwani ccm,ivi mamvi ukikosa uraisi utaenda wapi.....vp naigeria huendi,prophet tb joshua alijua ulikuwa unataka kumtumia..akakupiga chini
hapo umepiga kelele.
 
Mwanangu Lufungulok
Kama wana ushahidi kuwa hii ni rushwa si vibaya kusema. Je Lowassa ana biashara gani na hawa aliowapa mbuzi kama si kishawishi? Huyo Zitto unayempigia mfano amefanya nini tofauti na chama chake ukiachia mbali kufukuzia dili zake kwenye kamati yake? Hujawatendea haki CDM na Zitto. Ni kama umejenga fitina sijui kwa faida gani au umetumwa na mabwana zako akina EL?
 
Huko bangata ni manjeree watupu(waarusha)hawa jamaa ni mabwege sana,ukiwapa nyama na pombe unakua umewamaliza kabisa,kwa ujumla ni wakabila sana nani watu wasio na mtazamo wa mbali.wanuza mashamba na vieanja vyao alafu wanakuja kuomba kazi ya ulinzi kwa waliemuuzia baada ya kula hela zote,washamba sana hao watateseka sana hao.
 
Hivi hizi siasa za kununua wapiga kura zitatufikisha wapi Watanzania? Mungu hatatuondoa katika Laana hii ya Umasikini.

Hakuna laana kwa mbarikiwa....Laana imevunjwa saa hizi tuna exploit tu mwache awarudishie raia alichowanyang'anya ila asahau kwenda anakokimbilia funguo zote ziko sehemu ambayo hawezi kuzipata labda amhonge Mungu na roho mtakatifu akiweza then atakuwa amezichukua na kufungua milango...Sijui watu mnashindwa kusimama na ku amini kwamba moyo wa Taifa uko mikononi mwa Mungu mwenyewe ila tu ametupa will ukipenda unachukua ukiamua kumpa adui hawezi zuia..Lakini unapodhamiria adui hana nguvu ya kushindana na wewe hata angefanya kitu gani..Hizo ni mbwembwe tu na mazoezi ya misuli lakini nguvu hana kiasi cha tembo mkubwa kuuawa na sisimizi..
 
Lowassa ni mwanasiasa wa kiwango cha juu sana. Si rahisi kum-define wala kum-counter attack. Hashindwi jambo.
 
Lowassa anakubalika sana. Kazi alizofanya akiwa Prime Minister zinaonekana mpaka leo. Kama ni ufisadi alishasema ukweli, JK anajua
 
Huko bangata ni manjeree watupu(waarusha)hawa jamaa ni mabwege sana,ukiwapa nyama na pombe unakua umewamaliza kabisa,kwa ujumla ni wakabila sana nani watu wasio na mtazamo wa mbali.wanuza mashamba na vieanja vyao alafu wanakuja kuomba kazi ya ulinzi kwa waliemuuzia baada ya kula hela zote,washamba sana hao watateseka sana hao.

umenena kweli mkuu hata mm nilinunua kwa mwarusha na sasa ni mlinzi kwa jirani yangu
 
Arushaone umeamkaje lakini,
hebu mpigie huyu EL mwambie nahitaji mee moja,
kampeni za maeneo ya kwetu aniachie aone kama hajapita,
liwalo na liwe.

EL ni mwanasiasa anayejua kutumia kete zake vizuri hasa! Asikudanganye mtu huyu bwana mbegu anazopanda ziko zitakazoota na kuzaa. That's kind of politicians' weapons. Watu wanatumia umaskini wao wenyewe kujinyonga, na maisha yanaendelea kuwa magumu.
 
Last edited by a moderator:
Huko bangata ni manjeree watupu(waarusha)hawa jamaa ni mabwege sana,ukiwapa nyama na pombe unakua umewamaliza kabisa,kwa ujumla ni wakabila sana nani watu wasio na mtazamo wa mbali.wanuza mashamba na vieanja vyao alafu wanakuja kuomba kazi ya ulinzi kwa waliemuuzia baada ya kula hela zote,washamba sana hao watateseka sana hao.....

Watanzania walio wengi ni Manjeree. Na hii ni kete ya CCM. Kuhakikisha Watanzania wanabaki manjeree wao wakiendelea kupeta. Hii changamoto na CHadema inapaswa iwe inalifahamu hili.
 
EL ni mwanasiasa anayejua kutumia kete zake vizuri hasa! Asikudanganye mtu huyu bwana mbegu anazopanda ziko zitakazoota na kuzaa. That's kind of politicians' weapons. Watu wanatumia umaskini wao wenyewe kujinyonga, na maisha yanaendelea kuwa magumu.
Hyooo sawa sawa na DECI
 
Ahaaa!gari la mshahara ilo,kimbilieni,limehama kanisani sasa linagawa mbuzi duh!....M-pesa bwana
 
Back
Top Bottom