Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

Naomba nikiri, sijui hata ni nini kinaendelea hapa

Nilidhani zito na huyu dada ndio wanatongozana?

Amtose mara ngapi? Hukusikia U HERD!!!!!! ya Gossip Cop wa Clouds Fm? HABARI NDO HIYO!

Mimi sidhani kama najua Kiingereza maana sijaona popote pale katika hizo tweets ambapo Zitto katoswa.

Hivyo inawezekana labda sijaelewa.

Wewe umeona alipotoswa?

uwezo anao ila the guy doesnt care cos he has many on the list cha zaidi atakuwa anamsikitikia tuu
 
Iko tweet ya Zitto LIVE inatia shaka kwa ntu wa caliber yake kuweka tweet kama ile! If I had balls ningeitupia hapa! Ooooopss! I searched my balls they are gone!

Nitupie hata kwenye PM basi lara 1, unajua ni kosa kisheria kuninyima taarifa? tuko kwenye era ya uhuru wa habari?!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Zito kweli, mbona ana ma-akili mengi ya kujenga hoja?
Nimeamini akili za mapenzi ni ngumu sana, sijui ziko wapi.
 
Naomba nikiri, sijui hata ni nini kinaendelea hapa

Nilidhani zito na huyu dada ndio wanatongozana?

kutingozana walishatongozanaa siku nyiingi,wakagegedana na stage waliopo ni ya kubwagana tena through social network hii ni mara baada ya prezo kumpata the Diva
 
Mambo ya udaku yana taabu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Eeeh,jaman makubwaaaaa,
jana nimesoma tweets za huyu bint akimpaka chahali kwa kashfa ya wabunge kutiana mimba,leo tena yanaibuka haya ya vibuti,je walitongozana tweeter hadi watimuane tweeter?
 
Kwanza jina la akauinti ya kwanza na ya pili ni tofauti,ya kwanza ni Diva cloudsfm na ya pili ni Divamimi hivyo kufanya jambo hili kuwa la utata,pili hakuna sehemu ambayo ZZK amejibu lolote kuhusu yaliyokuwa yanaandikwa na huyo Divamimi na kufanya hii issue kukosa mashiko zaidi ya kutengeneza habari zisizo na ukweli.
 
Sidhani kama huyo binti hana akili kiasi cha kuweka mambo yake ya mapenzi na mtu wa aina ya Zitto hadharani namna hiyo, na akatoroka harmlessly!
Nina mashaka huyu binti anatumika!
 
Last edited by a moderator:
Yani hapa ndipo wanawake wanapokosea, mtu akikuonja tu basi masifa kibao na mishauo miiingi hadi wengine wanastukia mchezo......sasa ni kupakana live kwenye tweets
Mrembo by Nature/MENTION] ni kuonjana, sema sasa wanawake sio wote lakini wanapagawa na kuweweseka mno hasa mtu mwenyewe akiwa ni public figure as [MENTION=1681]Zitto na wengine kama hao.

Na hilo litapita.
 
Hahahahahahahahahahaahaa! ndio vioo vya taifa letu hivyo, hahahahahahahaha me mbavu cna jamani ss huyu dada nahisi ameanza kula cha arusha maana m2 mzima na akili zako huwezi fanya mambo ya ajabu hivyo.
 
Hee kumbe yule madame nae alinanliyuu na mheshimiwa?jaman mnapataga wapi hizi hot news nami nataka
PLL news zinapatikana hum hum town shurti uwe tayari kusutwa siku ukiyakoroga........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom