Loved by the Best. Don Williams.

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Nilianza siku nyingitu kuzipenda hizi nyimbo.
Ingawa ukweli ni kua kwa kipindi kile nilizipendea midundo yake
na sio kilichokua kinaimbwa. Ilikua ni kila jumapili, nikijiandaa kwenda sunday school.
zilikua zinapigwa. Mpaka leo bado nazidi kuzipenda, haswa baada ya kujua sasa ni nini kinaimbwa.
Leo nimeamka nikajikuta naimba hii "loved by the best" ya Don Williams.
Lakini pamoja na hayo, ukweli ni kua sijapendwa. na natamani sana kama ningekua
na mtu wa kumwimbia huu wimbo.
Kwa sasa naombeni na ninyi muusikilize ikiwezekana muwafoadie hao waliowapenda
(kama huna kama mimi sikiliza hata kwa burudanitu), na muendelee kuamini kua kuna
vitu mtu huwezi kupata kwa fedha, umaarufu, mamlaka au ushawishi ulionao ila ni bahati/baraka.
Na muedelee kumwomba Mungu awapatie........!

Nimeweka mashairi yake pia hapa chini.

LOVED BY THE BEST.

Darling, if you ever leave me
Well, I'll just put my heart away
I couldn't love again, believe me
No one could please me anyway
And if another ever came along

I'd just turn them down 'cause after all
I've been loved by the best
I can't settle now for less
Why bother with the rest
Baby, I've been to the top, I guess

With you I have been blessed
I won't take nothing' less
I've been loved by the best

If you ever get tired of me

Well, I won't look for someone new
'Cause looking back on how you loved me
No one could measure up to you
And if they try to win this heart of mine

I just have to say, ''Don't waste your time''
I've been loved by the best
I can't settle now for less
Why bother with the rest
Baby, I've been to the top, I guess

With you I have been blessed
I won't take nothin' less
I've been loved by the best

When I look into your eyes I know

You're the only love I ever want
'Cause, after you and me Baby, I can see
Nothin' else could be even close

I've been loved by the best
I can't settle now for less
Why bother with the rest
Baby, I've been to the top I guess

With you I have been blessed
I won't take nothin' less
I've been loved by the best


 

Attachments

  • DONWIL~0W.MP3
    6.5 MB · Views: 49

Similar Discussions

Back
Top Bottom