love

maumivu yake yakoje.........
maumivu yake unajihisi kuumwa si kuumwa,utajiuliza why me?appetite ya kula inaondoka,au kama mtu wa diet,diet unaiacha unafakamia vyakula bila mpangilio.kama ni mtu wa kujipamba,mapambo unayaweka pembeni,kama sio mtu wa pombe,ndio utaanza kujifunza kunywa.mawazo yatakujaa kichwani bila kujua unawaza nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom