love at the first sight

amyna m

Member
Jun 5, 2012
57
11
Habar wana jf jaman naomba kuuliza ii love at the first sight kama ni applicable?kama ni applicable je wewe ishawah kukutokea?in what way?maana mi naona first unamtaman mtu then kumpenda kunafata...nawasilisha
 
Just follow your heart, otherwise hapa kila mtu atakuletea hadithi zake.Also sometime kitu inaweza ikawa applicable kwangu then ikawa sio applicable kwako umeisoma hiyo
 
Mimi sijui kwanini, ila nikimuona tu mtu najua kabisaa kama NITAMPA MAMBO au HAPATI KITU. Afu siku hizi LOVE IS OVER RATED!!!!! Kiukwelii unaowapenda na kuwatamani na kuwa realy in love nao wanakudisapoint, so wengi wetu naona TUNA SETTLE TU na tunachojaaliwa. Unapenda mademu point 10, hela huna unampata Mwajuma ofisini 4/5, anakupenda, hana tamaa, sio mzuri sanaa ila anaangalika plus anakuona wa maana, MAOANA na kuanzisha familia ILA sasa ukimuona Viola point 10 unabaki kuwaza ungekuwa na pesa, usingemuoa mwajuma ingekuwaje, baade unazinduka unamtex Mwajuma, I LOVE U BABY, NIMEKUMISS SANA,ASANTE KWA KUNIPA HESHIMA YA KUWA MUMEO!!!! Mwajuma anaona SMS anajiuliza WTF, ila anafurahi moyoni. LIFE GOES ON!!! VICE VERSA IS TRUE!!!!!
 
huwa inatokea,ila inaweza isiwe vile unavyotaka wewe,mwisho wa yote ukawa disappoint
 
Inatokea na baadhi hubahatika kumnasa huyo binti/njemba.

Habar wana jf jaman naomba kuuliza ii love at the first sight kama ni applicable?kama ni applicable je wewe ishawah kukutokea?in what way?maana mi naona first unamtaman mtu then kumpenda kunafata...nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Habar wana jf jaman naomba kuuliza ii love at the first sight kama ni applicable?kama ni applicable je wewe ishawah kukutokea?in what way?maana mi naona first unamtaman mtu then kumpenda kunafata...nawasilisha

hutokea, kwani ukiwa umejitambua unajua kabisa unapenda mtu wa aina gani na vitu gani vinakuvutia, so ukimwona mhusika tu unafall moja kwa moja, sema issue kumpata siyo lazima kwani anaweza akawa amewahiwa
 
Mi haijawahi kutokea sana sana inanitokea ni kama crush flani tu lakini baada ya mda ile hali inaisha,mi naona kumpenda mtu it takes time sio siku moja.
 
So inawezekana ukawa umeolewa au kuoa then ukaja kutana na mwngne nje ambaye ana vgezo vyako ukampenda at the first sight tena zaidi na mmeo au mkeo?
hutokea, kwani ukiwa umejitambua unajua kabisa unapenda mtu wa aina gani na vitu gani vinakuvutia, so ukimwona mhusika tu unafall moja kwa moja, sema issue kumpata siyo lazima kwani anaweza akawa amewahiwa
 
Mi haijawahi kutokea sana sana inanitokea ni kama crush flani tu lakini baada ya mda ile hali inaisha,mi naona kumpenda mtu it takes time sio siku moja.

Hata mm naamini ivyo..lakin utakuta mijitu inakuja eeh u knw nlivyokuona tu kwa mara ya kwanza. Roho ilidunda mekupend sanaa yan silali nakuwaza...ptuuuuu movie
 
Back
Top Bottom