Lord Eyez kesho kuzungumza na waandishi wa habari kuelezea tuhuma zidi yake

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
LORD-EYEZ.jpg
Msanii Lord Eyez

Rapper wa kundi la Nako 2 Nako Soldiers na Weusi, Lord Eyez, kesho anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari kuelezea shutuma dhidi yake za kudaiwa kushiriki kuiba vifaa vya gari vya Ommy Dimpoz.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na rapper wa Arusha ambaye pia ni member wa Weusi, Nikki wa Pili, Lord Eyez atakuwa na mwanasheria wake.
Amesema mkutano huo na waandishi wa habari utafanyika katika hoteli iliyopo jirani na Mlimani City, jijini Dar es Salaam.
Lord Eyez yuko nje kwa dhamana na anakabiliwa na makosa zaidi ya 30 katika kesi hiyo.
 
Sasa atachomoka kweli?acha aende jela ili aache madawa,hip hop bila madawa!!napenda mziki huo ila mapigo yao hua siyaelewagi kwani nilazima alage madawa?na karayce kakafungwe nako karud kamejifunza nasikia kamechoka sana.bongo na kulevya wapi nawapi?
 
Kisheria wamefanya kosa kuzungumzia jambo ambalo liko mahakamani. na dhani yeye na mwanasheria wake watajua nini maana ya sheria!
 
Ila uyo dogo inaweza kuja kumcost letar cz Atown ndio nimezaliwa mm so nazijua bef za pale town ...
Bora ajitaidi atemane na iyo mambo mapeema..
Yule jamaa kazaliwa mtaa stil bado niwamtaa alaf vilevile niRais wamtaa cz anawafuasi kama wote so mm namshauri Omy atemane na iyo mambo!!!
 
Je na mimi itanicost mwizi tu huyo
Choriiiiiiii
Choriiiiiiii
Choriiiiiiii
 
*Nani ajakaa huko A-town unakosema?
*Nani kakwambia watu wa A-town wana tetea wezi?
*A-town wako juu ya sheria?

Unatakiwa vitu vingine ujaribu kufikiri tuu , leo hii mimi nikikuibia hata ukisema umenisamehe wala msamaha wako haufuti case wakati imeshafika kwenye vyombo vya dola!

Hebu jaribu kumtetea kuwa yeye si mwizi sio aachiwe tuu bila sababu!

Back
Top Bottom