Looking for a job.

AMANI SAMANYA

New Member
Jun 7, 2012
2
0
HELLOW WATANZANIA, MIMI NI KIJANA MTANZANIA MWENYE UMRI WA MIAKA 25, KWA SASA NASOMA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO SHAHADA YA KWANZA YA MAWASILIANO YA UMMA (BA. IN MASS COMMUNICATION), SPECIALIZED IN PUBLIC RELATIONS NA NAMALIZIA MWAKA WA TATU. NATAFUTA AJIRA KATIKA SEKTA YOYOTE AU KAMPUNI YOYOTE. KWA MAWASILIANO ZAIDI Email: amanisamanya@yahoo.com Au NAMBA YA SIMU: 0719714566. AHSANTENI SANA.
 
Hmm cross ur fingerz,upate majibu mazuri,nahivi ulivyojiopen,.hmm kuwa tayar kupokea majibu positive yakukusaidia,na negative ambayo utatamani ujifiche ndani week nzima,ukihisi waliokujibu wanakuona.
Mungu atakusaidia,ila ushaur change urnames.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom