Lodge za 5000/'7000 per day Dar es salaam Pls

Mkuu Naona Unataka Kuhamisha Kunguni Na Magonjwa Ya Ngozi Upeleke Nyumbani Kwako.

Pia Usalama Wa Lodge Kama Hizo Ni Mdogo Sana Kwako Na Vitu Vyako.

Jitahidi Unatafuta Lodge Nzuri Kuepuka Magonjwa Ya Ngozi Na Kunguni Pia Usalama Wako Na Mali Zako Ni Muhimu Zaidi.

"Cheap can be expensive"
Taja lodge nzuri na maeneo zilipo ikiwezekana hata na bei zake
 
Kwamba guest ya 7000 lazma kunguni uongo mtupu nenda mbagal rangi tatu ulizia white guest house hapo ef 7 kasoro net chumba safi na ni self kuna feni full upepo safi ukitaka utalala ghorofani yupo mother mmoja hiv kila mwish wa mwez naingia dar ndio chimbo langu hilo
 
Mkuu Naona Unataka Kuhamisha Kunguni Na Magonjwa Ya Ngozi Upeleke Nyumbani Kwako.

Pia Usalama Wa Lodge Kama Hizo Ni Mdogo Sana Kwako Na Vitu Vyako.

Jitahidi Unatafuta Lodge Nzuri Kuepuka Magonjwa Ya Ngozi Na Kunguni Pia Usalama Wako Na Mali Zako Ni Muhimu Zaidi.

"Cheap can be expensive"
Ni sahihi ulichoandika....je ulimuelewa? Pia tunaangalia uchumi jamani 16×5000=80000 per day kulala tu × 5
Bado kula mchana na jioni (2000×16)2=64000 per day×5
Maji 16000/ per day ×5(bado movements za to and from)×5...huoni kwamba bado sio cheap unavyodhani?

NB: ×5 ni siku watakazo kaa
Ni mzigo wa misumari kwa maisha ya dar
 
Hi guys hope mko poa woteeeee
rejea kichwa cha habari hapo juuu tunaomba mwenye kujua hili atupe direction pls '
kuna kazi dar tunawaleta mabinti kadhaa na makakaa wengi kidogo
nahitaji .............maelekezo yenu ahsanteni isiwe mbali sana na jiji letu tukufu
wale wachumi tumeelewana
rgds
Pdidy
Ngedere mwitu waingia mjini ngedere hawajifichi
 
Sinza kijiweni ipo 15k per day waki kaa wawili au watatu sio mbaya kila room..
 
Back
Top Bottom