CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Mkuu Masuke usiandikie mate wakati wino upo.
S.C.Villa wapo Dar nenda kawaulize.
Na ata ukiingia Kampala leo,bado kuna daladala nyiiiiiingi zimeandikwa Lunyamila,Saidi Mwamba,Mohamedi Huseni.Na ata basi La S.C.Villa limeandikwa kwa nyuma neno "JANGWANI"

Lete na za Simba bila
kuisahau ile mechi ya pale Rocky City ambapo Ben Mwalala alijipigia bao
za kutosha na kuwavutia Yanga kumsajili. Tiririka mtani bila kinyongo,
aibu wala kificho kama ulivyofanya hapo juu.
Lete na za Simba bila kuisahau ile mechi ya pale Rocky City ambapo Ben Mwalala alijipigia bao za kutosha na kuwavutia Yanga kumsajili. Tiririka mtani bila kinyongo, aibu wala kificho kama ulivyofanya hapo juu.
habari yako mkuu long tyme no see you
Mkuu ndetichia kwa sasa tunawawazia Ashanti kwenye ligi,siyo Azam bana.
Ni bora ungeiongelea Kiluvya utd kuliko Azam,maana Azam ni sawa na muembe wetu wa uani tu.