Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

Huuu mgaragazo ni aibu sana sjui watafichap nyuso zao
mkuu nilishawahi kusema pale arusha ccm wakimuweka hata baba wa taifa na cdm waweke fisi au jiwe cdm inashinda hawakunisikia hii haitaji stashaada ya daraja 1 kulitambua
 
simu yangu ilidondoka ikazima nikawa sipo hewani!
Nia yangu mimi nikuwekee hiyo
1.5M afu wewe uweke JIWE
cccm ikishinda mi nachukua jiwe wewe 1.5m japo mimi si shabiki/mwanasiasa wa chama chochote ila huwa naliona game linavyoolekea!!
So kwa kuwa nilikuwa offline basi mliepingiana nae haki yake!
Au umelala??

Nilipnga nae mkuu,ila kakimbia hajanipa pesa, nimeanz kumdai akantshia kuntoa men na kucha
 
Hii ndo hali halisi inayoendelea hapa Arusha, mawakala wa ccm hawataki kusini, huku jeshi la polisi likijitangazia hali ya hatari hapa Arusha.
 
Inanifanya niamini zaidi na zaidi ccm kupitia green rebels waliripua bomu Arusha ili kuwatisha chadema na kauli ya mwigulu Nchemba -Arusha msipochagua ccm mtakufa ilitumika na kusababisha hata idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kuwa wachache lakini hao hao wamewakilisha HAKI-peoples....Power!!Asante sna kwa kudhihirisha ulimwengu kuwa damu ilimwagika ni kusudio la watawale hao fedhuri ndo mana hata shughuli za bunge ziliendelea kama kawaida

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Arusha tuchague kufa ama kuishi ila lazima ccm tuipeleke pale makumbusho iwe sehemu ya kivutio cha utalii....backward never, forward ever
 
Hapo bado daftari la kupigia kura halijarekebishwa. Mweee, CCM kwaherini.

Mimi mwenyewe sina card yakupigia kura na ni kijana wa chadema na nipo na vijana wenzangu hapa hawana pia card/shahada zakupigia kura na kwa pamoja tunalisubiri maboresho ya hilo daftari tujiandikishe ili tuwe na hizo shahada zakupigia kura na ikifka 2014 na 2015 tuwaonyeshe ccm kuwa sisi vijana pekee tunauwezo wakufanya mageuzi nchi hii.

MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA NA VIJANA WOTE WA NCHI HII.
 
Themi
KuraAsilimia
CDM67851%
CCM32625%
CUF31324%
Jumla1317100%
Kimandolu
KuraAsilimia
CDM266570%
CCM116930%
Jumla3834100%
Kaloleni
KuraAsilimia
CDM101965%
CCM38925%
CUF16911%
Jumla1577100%
Elerai
KuraAsilimia
CDM171554%
CCM123939%
CUF2137%
Jumla3167100%

Wanatamani wafiche sura zao lakini hakuna pa kujificha hujuma zimeshindwa CHADEMA NI MOTOOOO!!!!
 
Back
Top Bottom