Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

Chadomo ni chama cha waoza meno kwahiyo hata wakishinda leo ni halali yao,si wapo nyumbani
 

....Live up data Kata ya Kaloleni ....Source Sunrise Radio


kaloleni vituo 12

Chadema CCM
51 25
68 19
67 20
57 25
69 21
60 15
41 21
50 22
54 30
54 15
b2 kituo nitawaletea

Vituo 12 Kaloleni
 
Tupeni matokeo yote hata yale ambayo si mazuri kwa wapenda Tanzania (wapenda Mageuzi). Tujulishe yote tujue tu. Mungu anaipenda Tanzania. Nguvu za giza zitashindwa
 
Yericko [B said:
Nyerere[/B];6823857]Ondoa hofu mkuu, anza kula na kusherekea tu mkuu,

Tunamsubiri mkurugenzi wa jiji la Arusha atuthibitishe tu kuwa ni washindi wa kata zote!

Pipoooooooooooooooz! Pawaaaaaaaaaaaaa!
Kituo cha Kaloleni A5
CDM 51
CCM25
CUF 11
Wadanganyika bwana?! Yaani hadi wale wa kwenye ukoo wa Nyerere walishahama CCM wao ndio kwanza wanaipigia kura! Poor Tanzanians!
 
Back
Top Bottom