Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

We unaujua utukufu kweli?!,kama ungakuwa unajua usingekuwa unawasumbua watu kila siku,ulipaswa kufanya mara moja tu!

mkuu pole, kumbe dhambi inarusiwa? mwigulu kawapoteza.

Kitabu gani kinaruhusu kufanya mara moja? kama unafanya hivyo ujuwe wewe nikafiri mkubwa wallah.
 
'mwenzako anaongea kama anakimbizwa na wewe unaongea kama unafanywa nini ndugu..............anaogea sabuni gani kwani'

Yeye anaongea kama vile tayari amemaliza,ndiyo maana unaona maneno yake hayaeleweki Mkuu!
 
Hapana Mkuu kuna moja wamekaa vizuri wataichukua,lakini bado hata wakipotza moja ama mbili ni hasara kwao ni uthibitisho kwamba watakuwa wamekwisha kwa sababu zote nne zilikuwa ni zao,lakini............................!!!

kwa hiyo hata ccm imekwisha kwani walipoteza kata 4 walizokuwa wanazitetea kwenye uchaguzi wa 16/06/2013..
 
mkuu pole, kumbe dhambi inarusiwa? mwigulu kawapoteza.

Kitabu gani kinaruhusu kufanya mara moja? kama unafanya hivyo ujuwe wewe nikafiri mkubwa wallah.

hivi unaujua usumbufu wako Mkuu ninaouzungumzia?!,hivi unajua ulipaswa kufanya nini mara moja?!,soma kwanza vizuri uelewe,tatizo lako umekaa kama 'zumbukuku' unakimbilia kujibu bila kusoma ukaelea,angalia utachekwa!
 
Mnauthibisho wa M800 unauthibitisho? kufunga ni utiifu na ukamilifu wewe na huyo Ritz

kama mnadhani kufunga ni kuropoka na uzushi hamna thawabu ni wanafiki na nimakafiri tu. hamfuati sharia za mwezi mtukufu
mkuu japo vyafanana, kuna utofauti mkubwa mno kati ya kufunga na kushinda njaa.
 
Mnauthibisho wa M800 unauthibitisho? kufunga ni utiifu na ukamilifu wewe na huyo Ritz

kama mnadhani kufunga ni kuropoka na uzushi hamna thawabu ni wanafiki na nimakafiri tu. hamfuati sharia za mwezi mtukufu
Kwao Siasa kwanza.
 
Mungi
Arushaone
Filipo
Freedom Of Flag
Daudi Mchambuzi
Crashwise
GanjaPlanter
PakaJimmy
olevaroya
Na wengine wote wanaoshirikiana kwa pamoja kutupa newz yote ya vituo vyote.
Nami kutokana na mambo ya hapa na pale ya kikazi muda c mrefu nitakuwa kata ya Kaloleni kuongeza nguvu kwa chochote kile nitakayoona.

Mkuu kati ya hawa tayari kuna wawili wamebananishwa walikuwa na vitu vinavyotilia mashaka bado wanahojiwa,subiri wakirudi utaona majibu watakayokuja nayo lakini kama wataachiwa!
 
Back
Top Bottom