Live Updates: SamaKiba foundation (Nifuate) 2023

Gwele

JF-Expert Member
Jun 7, 2016
2,296
2,854
Leo ni siku ya mechi ya Nifuate kati ya Team Samata vs Team Kiba uwanja wa Chamanzi jijini Dar es salaam tuwe pamoja kwa updates za moja kwa moja toka hapa uwanjani
 
3. Kwa Samata hujamtaja. Ni nani? Pia tungepata na sub zao

Na kwa nini mwaka huu hakuna foreigners? Ingenoga zaidi wangeshirokishwa
Mwaka huu ratiba zao wengi zimekuwa ngumu
Wengi wapo kwenye majukumu ya timu za taifa na wengne wapo mapumzikoni kwenye nchi zao
 
Half Time
Team Samatta 2 Team kiba 0
Bocco 20'
Sopu 45'
 
Mabadili Team Kiba
1.Tahaya Zayid ... In
Ajib ....Out

2. Abdi Banda ... In
Gadiel Michael ....out
 
Goooooal
63' Abdul Suleiman Sopu anaiandikia Team Samata bao la tatu katika mchezo huu
 
Gooooal
68' Ayoub Ruben Lyanga anaipatia Team Kiba bao la kwanza akimalizia pasi safi ya Ali Kiba
 
Back
Top Bottom