Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

Krosi hiyo Kiemba daah!please pleasee give us something...nina imani na Bocco
 
Kama unaongelea magoli ya bahati au kuwalipa marefa brown Envelopes ni sawa lakini sio mpira. Tunafahamu Chelsea jinsi wanavyoshinda.

Zipo top teams nyingi tuu zinachezewa nusu uwanja.

Tatizo ni kwamba, we aren't good enough yet.
 
tamemury.jpg


Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2

Brazil tutaiona kwenye kioo tu watanzania.Maskini tutawezaje kuwapiku watu hawa na kuchukua nafasi ya kwanza?Wakija hapa tena watatushindilia mengine.Tuache kushabikia suti.
 
Back
Top Bottom