Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Eberi M. Manya

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
743
280
Ndugu wanabodi,

Msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na ITV. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole.

Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo.

Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.

KARIBUNI
attachment.php
 
Attachments

  • ktb.jpg
    ktb.jpg
    487.4 KB · Views: 11,154
Heading haiendani na content na pia hakuna kitu inaitwa new update hapa duniani ila kuna news updates
 
Ndugu wanabodi, msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na Itv. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo. Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.KARIBUNI
Check out this video on YouTube:

Mhe. Wasira akiwa katika Kipindi cha Kumekucha Julai 26, 2014 (Pt. 1)

[video=youtube_share;_Z5LgWUDVqA]http://youtu.be/_Z5LgWUDVqA[/video]

Part 2:
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanabodi msisahau kufuatilia Mdahalo wa Katiba utakaorushwa Live leo na Itv kuanzia saa 9 kamili alasiri hadi saa 12 jioni. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadh na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira lakini kwa bahati mbaya inasemekana ameingia mtini. Karibuni tujifunze mwelekeo wa Rasimu ya Katiba ambalo kwa sasa ipo njiapanda. Tuachane na porojo za CCM ambao hawana nia ya dhati na upatikanaji wa Katiba. KARIBUNI SANA.
 
Ndugu wanabodi, msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na Itv. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo. Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.KARIBUNI

Taarifa za Wassira kuingia mitini zimefahamika muda mrefu. Kwanini waandaaji wa mdahalo hawakutafuta kiongozi mwingine wa ccm kuchukua nafasi ili kuweka balance na kuwatendea haki?Au hawapo au pengine wamehisi uzito wa muziki?
 
Kuna thread moja nilisema huyo ngedere wa c.c.em asingeweza kutia maguu na imekuwa kweli!
-daima hawajiamini katika kuuzungumzia ukweli wenye maslahi kwa taifa.
 
Back
Top Bottom