Live Updates: Bayern Munich vs Real Madrid

DonDonald

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,528
2,703
Mpira umekwisha kwa Real Madrid kushinda kwa magoli manne kwa bila { 4-0}, na kufanikiwa kuingia Final ya Champions League dhidi ya Mshindi wa mechi kati ya Chelsea na Atletico Madrid.

Bayern Munich wamevuliwa ubingwa.



Ule mpambano wa mechi ya marudiano kati ya Bayern Munich na Real Madrd ndio unakaribia kuanza

First Leg: Real Madrid 1 - Bayern Munich 0

LINE UPS:

Bayern Munich team: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Robben, Schweinsteiger, Kroos, Muller, Ribery, Mandzukic.

Subs: Raeder, Van Buyten, Martinez, Rafinha, Pizarro, Gotze, Hojbjerg.

Real Madrid team: Casillas, Carvajal, Ramos, Pepe, Coentrao, Alonso, Modric, Di Maria, Ronaldo, Bale, Benzema.

Subs: Lopez, Varane, Marcelo, Casemiro, Isco, Illarramendi, Morata.

Half Time

Bayern 0 - Madrid 3 { Ramos 16", 20" : Ronaldo 34" }

Full Time

Bayern 0 - Madrid 4 {Agg: Madrid 5 - Bayern 0}
 
Dakika ya 8

Madrid wanakosa goli Gareth Bale kapaisha juu, baada ya kipa wa Bayern kufanya kosa
 
Real madrid leo wapo tofauti na last week. Wanashambulia, wanafungua, wapo vizuri. Game ikiendelea hivi munich out!
 
Kuna mtafaruku unatokea hapa liberi na mchezaj wa madrd wanakosa kuchapana makonde
 
Mechi inaonyesha timu zinacheza kwa kuogopana.

Kila timu haitaki kufanya makosa

Dakika ya 12

Bayern 0 - Madrid 0
 
Back
Top Bottom