Tarehe 09 Disemba tutasheherekea miaka 55 ya "Uhuru wa Tanganyika",

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Tanganyika ni jina la kihistoria la sehemu kubwa ya Tanzania ya leo, yaani ile yote isiyo chini ya serikali ya Zanzibar.
Kwa sababu za kisiasa, mara nyingi huitwa "Tanzania bara" ingawa ina visiwa pia, hasa Mafia na Kilwa.
Tanganyika ilikuwa eneo lindwa la Uingereza kuanzia 1919 na nchi huru kati ya 1961 hadi 1964, mwaka wa kwanza kama ufalme, halafu kama jamhuri.
Mwaka 1964 iliungana na Zanzibar na kuwa sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

download.jpg


Tarehe 09 Disemba tutasheherekea miaka 55 ya "Uhuru wa Tanganyika", hakuna kitu kiitwacho Uhuru wa "Tanzania Bara". Hakuna nchi iitwayo Tanzania Bara! Ipo nchi iitwayo TANZANIA ambayo ilianzishwa mwaka 1964! Tujifunze kulinda na kuheshimu historia yetu, tujivunie na kuitangaza kama ilivyo.

images (1).jpg
download (1).jpg
 
Back
Top Bottom