Live update: Simba SC va Azam FC

Simba wanatisha aisee, walipigwa goli 3 na timu ya wananchi wakazichomoa zote, wakaenda Tanga wakapigwa goli 0 na wagosi wa kaya, wakachomoa kwa kuwapiga hiyo hiyo 0. Leo nawatakia uchomoaji mwema wa idadi yoyote ya goli watakazopigwa ili gemu liishe kwa suluhu au sare. CC. Kitoabu (Ombi lako kwenye mechi ya watani lahusika).
Aaaah, acha kabisa wanatisha !! yaani sijapata kuona! Katambuga social club mpaka leo kashindwa kuchomoa 5 - 0 ! alizochomekwa na Simba! kabaki kuweweseka!
 
pamoja na kusawazisha azam wanapoteza sana pasi katikati ya uwanja ambapo simba wameweka viungo wengi na kusababisha hatari ya mashambulizi ya kushtukiza
 
mechi hii simba lazima ishinde sare 3 mfululizo itakuwa haina maana
 
Hawa ni Madogo wa mazingaombwe anytime wanafanya maajabu! yaani pressure hakuna!Simba imethubutu na imeweza! Mpondela alishajaribu mwaka fulani kusajiri madogo kama hawa aliambulia kuchakazwa 4 - 1 na mnyama!!! Azam kufa ni lazima hapo!!
 
Back
Top Bottom