Live for yourself you will live in vain. But when you live for the others and you will live again -robert nesta marley

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,692
Miongoni mwa madokta na manesi wakionyesha heshima zao za mwisho kwa mtoto wa kiume mwenye miaka 11.

Mtoto aliyefahamu kuwa hawezi kupona kutokana na ugonjwa wa Kansa ya ubongo.

Mtoto aliamua kuchangia moyo wake kwa mtoto mwenzake aliyekuwa kuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo na pia kutoa Figo yake nakumchangia mtoto mwingine mwenye maradhi ya Figo.

cancerboy_doc_650x400.jpg
 
Kufa Kwa ajili ya MTU mwingine Ni utapeli na matumizi mabaya ya Akili ....
maaana Kila mtu yupo Kwa kusudi lake na c la mtu mwinginee na MUNGU c falaa mpaka akuletee dunian alafu ety ww ujifie kuokoa mtu mwinginee n fedhea kwakwel kamletea MUNGU .

Apumzike panapostaili..
 
Back
Top Bottom