VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Mnamo saa sita kamili kwa saa za Tanzania,Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai(The Hague) itatoa huku kwa Rais wa zamani wa Liberia,Charles Tylor.Upande wa mashtaka ulishawasilisha ombi lao la kutaka Tylor ahukumiwe kwenda jela kwa miaka 80.Ikumbukwe kuwa Tylor alishakutwa na hatia kwa makosa 11 kati ya 15 aliyoshtakiwa.Leo ndio leo...