List Ya Misimamo Ya Watu Maarufu Juu Ya Dp World

Querido

Senior Member
May 12, 2014
175
103
Ifuatayo ni aina mbili za watu maarufu kuhusu misimamo yao juu ya ya Dp World.
Watakao kataaa mwanzo mwisho suala la bandari.
1. Dr Salaa
2. Fr. Kitima
3. Mwanasheria wa Mbeya
4. Askofu Mwamakula
5. Prime Minister
6. Lukuvi
7. Warioba
8.Siro
9. CiC mstaafu
10. Shivji

Wafuatao ni watakaofikia bei. I mean dau litawafanya wabadili misimamo. Baadhi nitaandika kama taasisi.
1. Chadema
2. Cuf
3.Sukuma Gangs
4.Kikwete fcs
5. Timu ya ushindi 2025
6.Wafanyabiashara wengi

Nb. Ongeza list yako. Ni utabiri tu. Muda utaamua.
 
Back
Top Bottom