List ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na watu washamba hapa Tanzania

ushamba upi unamaanisha?? Kumbaf sana we jamaa una chuki na wasukuma ila ukweli utabaki palepale kwamba we run this country motherf****
 
FB_IMG_1567697319806.jpeg
 
Mtoa mada huijui historian ya Tanzania sitetei fuatilia vizuri historian ya mkoa wa tabora ndio unajua watu wa tabora washamba au maana mji una historian huo uhuni na ujanja unao uona mikoa ya sasa ulifanyika mkoani tabora miaka ya 1950 uko
 
Yaani wa
Yaani Wagogo na Waha unawaweka chini huko? Huna akili!
Nipo Dodoma kwenye shughuli zangu za kutafuta kipato yaani kuna mabwege mabwege wajinga wajinga na washamba walioshindikana nahisi labda ni hii mimboga yao inayovutika vutika kama makamasi looo
 
Hapa lazima kila moja apambane ili kuonesha kuwa mkoa wake ni bora na ina wajanja kuliko mikoa mingine
 
wakuu..kuna utafiti nimeufanya juu ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na watu washamba hapa Tanzania..na hii ndio full list.
1.Shinyanga
2.Simiyu
3.Geita
4.Katavi
5.Rukwa
6.Mbeya
7.Mwanza
8.Kagera
9.Songwe
10.Manyara
11.Iringa
12.Tabora
13.Ruvuma
14.Mtwara
15.singida
16.Dodoma
17.Kigoma
Kumbe sisi wa Tanga si washamba eeeh
Mtafiti tunashukuru akina

︎ Mzigua 90 akina
︎ Sky eclat na wengineo..
︎ Ukhty
︎ Shunie

pongezi kwenu
 
wakuu..kuna utafiti nimeufanya juu ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na watu washamba hapa Tanzania..na hii ndio full list.
1.Shinyanga
2.Simiyu
3.Geita
4.Katavi
5.Rukwa
6.Mbeya
7.Mwanza
8.Kagera
9.Songwe
10.Manyara
11.Iringa
12.Tabora
13.Ruvuma
14.Mtwara
15.singida
16.Dodoma
17.Kigoma
Ushamba ni nini ? tuanzie hapo
 
ushamba upi unamaanisha?? Kumbaf sana we jamaa una chuki na wasukuma ila ukweli utabaki palepale kwamba we run this country motherf****
Wachagga wana run hii country by remote control. Tangu uhuru hadi kesho. Anzia BOT, MUHIMBILI, MABENKI, TRA, name it wapo siti za mbele.
 
Back
Top Bottom