List ya club zilizopeleka wachezaji wengi AFCON 2024

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
_| Klabu za Afrika ambazo zimepeleka wachezaji wengi AFCON 2023/ 2024

1. Mamelodi - 11
2. Al Ahly - 10
3. Pyramids - 9
4. Yanga SC - 8
5. Simba SC - 6
6. Orlando Pirates - 6
7. TP Mazembe - 4
8. Nouadhibou - 4
9. Zamalek - 3

#Dibahvansports

Je: bado tuendelee kuidharau Ligue yetu ....Kwa Simba na Yanga ....jumla tumetoa players 14
 
Stars imejaa Yanga, Ndio maana inafungwa kirahisi sana na Misri
 
_| Klabu za Afrika ambazo zimepeleka wachezaji wengi AFCON 2023/ 2024

1. Mamelodi - 11
2. Al Ahly - 10
3. Pyramids - 9
4. Yanga SC - 8
5. Simba SC - 6
6. Orlando Pirates - 6
7. TP Mazembe - 4
8. Nouadhibou - 4
9. Zamalek - 3

#Dibahvansports

Je: bado tuendelee kuidharau Ligue yetu ....Kwa Simba na Yanga ....jumla tumetoa players 14
Yanga imepeleka 8 akina nani?
 
Tutajie wachezaji 8 wa Yanga walioenda AFCON afu uje inbox chap nkutumie laki moja
Pale stars Yanga anwachezaji sita....+ Aziz ki na pacome sema pacome ameghairi kwenda Baada ya kuhitajika na gamond
 
Yanga nadhani ni 7 na Simba 5
Ligi yetu si mbaya na naamini tungeweza peleka wachezaji kutoka ligi ya ndani pekee pasi na kuwa na pro wengi labda Novatus Msuva na Samata basi wangetosha
Yaah mkuu... pacome kaghairi
 
Honestly kupeleka wachezaji wengi sio shida shida ni wanacheza timu gani huko taifani mwao?

Mfano mtu anaenda kucheza zambia sasa zambia kweli?

Labda ghana , nigeria , mali , ivory coast aitwe mtu ndo tunachukulia uzito kiwango cha ligi kitaonekana kimepanda
 
Zambia wapo vizuri mzee
 
Zambia wana Afcon, vp mwenzangu na mimi?
 
Back
Top Bottom