Lissu: Lwakatare hajashitakiwa KUMDHURU Kibanda, Ulimboka; Serikali nani alihusika?

Lwaka anastakiwa kwa kujihusisha na matendo ya kigaidi ndani yake lipo la kibanda

Tafsiri ya kosa la ugaidi kwa sheria za Tanzania unahusisha nini? kumteka mtu, kushambulia ofisi za umma au kundi la watu kwa nia ya kuua na kuharibu mali?
 
Huu ndo unaitwa ULAGHAI. Yaani mwanasheria anatoka kwenye kesi badala azungumzie kesi hiyo ni ya nini yeye anasema kesi hiyo SI ya nini!!! Halafu kuna mijitu inashabikia. Hata angewaambia hakimu wa leo kavaa suti nyausi mngeridhika.

Hizo kesi nyingine sio mada ya leo, mada ya leo ni makosa manne aliyoshitakiwa Lwakatare likiwemo la kutoa sumu ya kudhuru binadamu.

nawe umefanya nini mchango wako wa mashitaka ma 4 ungeuchangia ktk threats husika hii inatafuta jibu nani kawadhuru ulimboka na wenzake
 
Asante mkuu kwa ufafanusi magamba walikuwa wameanza uongo wao kesi yenyewe haina mashiko ubambikizaji ulopitiliza kipimo
 
Mi nadhani lwakatare ndio anapaswa kutuambia alikua anakula njama za kumteka nani siku ile na amashafanya hivyo kwa watu wangapi na ni kina nani hao???haya ndio maswali ya msingi
ungewapa hayo maswali polisi wamuulize, maswali waliyomuuliza majibu yake ndo wamefungua hayo mashitaka manne ambayo hayana uhusika wowote na:-1. Utekwaji wa Dr. Ulimboka2. Utekwaji na uteswaji wa Kibanda3. Mauaji ya Mwangosi4. Mauaji ya Ally Dona Morogoro5. Mauaji ya Padri kule Zenji6. Kumwagiwa Tindikali kijana Musa kule Igunga7. Zahama za Ajali ya Mwakembe na Tindikali alizowekewaKwa hiyo tutahitaji watuhumiwa waliohusika kuwaletea wataanzania hawa Majeraha na uhalibifu wa miili yao kutoka Polisi.
 
Inaelekea hili Jeshi la Polisi na washirika wao wakuu wa CCM wana mkakati wa hatari sana, wa kuhakikisha kila mbaya wao wanambambikizia kesi ya ugaidi!!

Kwa hiyo ni wajibu wetu watanzania wote kulilazimisha Jeshi letu la Polisi litoe ufafanuzi wa tafsiri ya mtu anayeitwa gaidi ni mtu wa aina gani, na taarifa hiyo itolewe kwenye vyombo vyote vya habari ili wananchi wawajue magaidi.

Jeshi la Polisi lisipofanya hivyo ni dhahiri wananchi tutaamini taarifa zinazosambaa kuwa Jeshi hilo likishirikiana na CCM limepanga mkakati wa kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2015 nchi hii iwe haina chama cha upinzani chenye nguvu ili CCM ipete kiulaini!!!
 
kwa stail hizi iko siku police ccm watatangaza kumtafuta Rambo na shwazneger wawashtaki kwa makosa ya mauaji ya kimbari.
 
Tafsiri ya kosa la ugaidi kwa sheria za Tanzania unahusisha nini? kumteka mtu, kushambulia ofisi za umma au kundi la watu kwa nia ya kuua na kuharibu mali?

Tafsiri iwayo yote, this time wanaweza wakabadilisha ili mradi lengo lao la kuichafua chadema ifanikiwe. Ninavyojua mimi kosa kutaka kumdhuru mtu na ambalo halijatendeka haliwezi kuitwa ugaidi. Wazinzibar walikasirishwa na kauli wa Waziri Nchimbi kwamba wauaji wa Padri siyo magaidi na Zanzibar hakuna magaidi. Leo suala la Lwakatare wa Chadema ni ugaidi. Huu ni mchezo mchafu tu wa kitoto , hakuna zaidi.
 
Magamba nendeni tena kwa mara nyingine mkaonane na producer wenu upya, Hii video ndio ile ya mwigulu ilikuwa bado inapikwa. kazi ipo ila kitaeleweka tu, maana njia ya mwongo ni fupi.
 
Jamani uchunguzi bado haujakamilika,ukikamilika wahusika wote watapelekwa mahakamani!...

Mauaji ya RPC wa mwanza Balo wiki moja tu watu washakamatwa wote,Dr Ulimboka uchunguzi bado haujakamilika,kibanda

uchunguzi haujakamilika na watu wanatajwa kwa majina hadi ofisi wanazofanyia kazi,hivi huo uchunguzi wanachunguza

kitu gani hasa?..
 
Wana haraka kama cha kwanza, hii ni video moja tu kati ya tano za mutu ya Bukoba, kabla haijamalizia na kile kitabu cha TUNTEMEKE ndani, wauaji wotenlazima waanikwe hadharani.
Upumbavu ujinga hauna gharama ni wa bure kwa anaejaliwa nao kama CCM na mazezeta wake
 
mshachelewa sana mjomba. tushaingiliana kama wapalastina na mayahudi.

tulieni tuzae na nyinyi tu, mpaka kieleweke.

ccm=chama cha mapumbafu

Nimecheka sana kwa hilo jibu. Hilo ndilo jibu linalomfaa huyu jamaa. kinapoingia kitu lazima wawe watulivu ili wazae vizuri.
 
nadhani baada ya single ya matokeo machafu ya form 4 kuhit sana, wazee wa magamba wauliumiza sana vichwa watoe single gani tena ambayo vichwa maji wabongo tungeitolea macho na kusahau ya F4, na sasa wakaja na hy kibanda ft lwaka na ludovic. Lakini hii yote ni kuwafanya watanzania ni wajinga. Ccm wanajua wanachokifanya hy tunaita mazingaombwe ila iko siku ukweli utakuwa wazi kwa kila mtanznia.
 
Akizungumza na wanahabari nje ya mahakama amependa watanzania wafahamu mteja wao wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi Lwakatare HAJASHITAKIWA Kwa yaliyowasibu Ulimboka na A Kibanda je Serikali ituambie ni wakina nani wanahusika na Utekaji huo?

Hivyo waliokuwa wanaeneza uvumi Lwakatare anahusika, Serikali haijaona uhusika wake bali kwa ambaye haja tekwa mhariri wa Mwananchi Msaakii

Wanajamvi kwa kauli hiyo Serikali na sisi nani kamteka Ulimboka na Kibanda na hata Mwakyembe kwa yaliowasibu.[/QUOTE]

Mimi naomba mnisaidie labda nipo nyuma ya wakati. Kilichosababisha kukamatwa si Picha za You Tube?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom