Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

hii sasa ni kiburi!!
wahenga wanasema "kiburi si muungwana!!""
anataka kupambana na dola wakati kuna mambo mengi muhimu yanayo husu usalama wa nchi,
 
Sijui kwa nini vilaza wale hawakupeleka maWP kumshikashika mama mwenzao? mbali na kumshikashika na ''kumtengua bega'', kumtoa ''afisa wa mahakama'' kwenye eneo lake la kazi na ''kumzuia kutimiza wajibu wake'' kwa style ile ni kosa la jinai:)
Wahusika kupitia mawakili wao 29 hawajafungua kesi ya jinai unayoona wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu na genge lako mnatudharilisha Wanasheria. Hiyo kesi inahitaji mawakili 29?? Kwa nini msiende Segerea mtafute na kuwatetea wafungwa wanaokosa msaada wa kisheria?

Hiyo kesi mngewaachia vijana wa intern na wakili msomi mmoja.
umeshapanic tayari. taratibu tu tutaelewana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisema sehemu kubwa ya watanzania wanapenda kuishi na kusikiliza matukio. Kweli hawa mawakili wasomi wanapoteza muda wao kwa kesi ya kijinga kama hii. Wengine wameshasema huyu mama anafaa kuwa Rais wa Zanzibar. Kweli nimeamini kuwa watu wanajua kutafuta Kiki.
Ndilo tatizo la kuwaziba watu midomo Lazima watakuja na mbinu za kusikika
 
aisee huyu dada anatafuta kiki ya lazima ..nchi hii bilion moja?? itoke wapi?? si bureee!!!!

makiki kama wasanii...hadi wanasheria nao wamo!!!
 
Sheria inasemaje kama mtu anatakiwa kuondoka mahakamani mara moja halafu akawa hataki kuondoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwambia wakili aondoke mahakamani, kazini kwake!! Kwani kulikuwa na janga la moto...! Huyo rafiki yako polisi ataieleza mahakama sababu ya kumfukuza wakili kazini kwake, kumbuka atakuwa anaulizwa na manguli wa sheria, usikae mbali.
 
aisee huyu dada anatafuta kiki ya lazima ..nchi hii bilion moja?? itoke wapi?? si bureee!!!!

makiki kama wasanii...hadi wanasheria nao wamo!!!

tulia, watu inabidi waelewe kuna sheria sio wanafanya tu wanavyotaka..sheria zipo.wanatakiwa kufuata sheria..sio sifa sifa tu zisizo na maana yoyote
 
Mawakili 29?????

Hivi wanafanyaje kazi wengi hivyo, ngoja tuone wapishi wengi,.... wanavyokoroga mchuzi

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Kama hili ni kweli basi Mawakili Wasomi watakuwa wana 'Over-do'..
Nafikiri inatosha pekee kuweka 'Lead Counsel' mmoja na 'Co-Counsels' watatu basi..
Hii itasaidia kuimaliza kesi mapema na kutokuonekana kuwa Mawakili Wasomi wanatumia 'Professional Arrogance'..
 
Singida vijijini wanakuhitaji.....kwa huyu TUNDU alichaguliwa KUWA MBUNGE wa kushinda MAHAKAMANI na SEGEREA?????
Kwani walipomchagua walimkataza asiende mahakamani na segerea? Jukumu la kuwaletea maendeleo watu wa jimbo lake ni la serikali ya CCM chini ya magufuli, mbunge ni muwakilishi tu wa wananchi.
 
Kwanini hizi pesa tusiwape mawakili wetu wapambane kwenye kesi za wahujumu uchumi kama ambavyo tunakabiliwa na kesi nzito ya IPTL?....
Ila ndiyo kawaida yetu waTZ, ushindani wa maneno, angalia mtaani na maofisini au sehemu za kujipatia riziki, tukishaamka sisi kinachofanya kazi ni mdomo kuliko akili au mwili!
Usemavyo ni kweli, kesi ya kuku wauza Ng'ombe ugharamie, kama vile huna matumizi muhimu ya hela na muda wako, kweli miafrika ndivyo tulivyo...
 
aisee huyu dada anatafuta kiki ya lazima ..nchi hii bilion moja?? itoke wapi?? si bureee!!!!

makiki kama wasanii...hadi wanasheria nao wamo!!!

angekuwa mama yako au dada yako kafanyiwa hivo ungesema ni kiki? au unaandika tu kujifurahisha.. ifikie wakati watu wafanye kazi zao kwa weledi sio manual.
 
Bora hata akasomee uccm kuliko sheria ambapo wanasheria wote Tanganyika wanaongozwa na Lissu ambae kwangu sijawai kumwona mtu makini zaidi ya mpiga makelele tu hv leo mtu kushikwa bega wanasheria 29 je angeshkwa vingne ingekuwaje???? inaonekana fani ya sheria vilaza ni weng sana wasioweza kujua uzito na umuhimu wa kesi
Hiki ndicho CCM na watawala wanachokitaka, watu kuwa mambumbumbu wa haki zao ili uwatawale vizuri, lazima umwache mtu kwenye personal space yake, sio unashikashika watu hovyohovyo.
 
Lisu na genge lako mnatudharilisha Wanasheria. Hiyo kesi inahitaji mawakili 29?? Kwa nini msiende Segerea mtafute na kuwatetea wafungwa wanaokosa msaada wa kisheria?

Hiyo kesi mngewaachia vijana wa intern na wakili msomi mmoja.



Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa na hiyo option ila wameona haifai, wapo huru waache wafanye kinyume na unavyotaka wewe, ndio demokrasia hiyo.
 
Back
Top Bottom