Lissu amedhihirisha kuwa Chadema inaweza kuuza nchi kwa uroho wa fedha

ngorongoro na loliondo ccm wamempa mwarabu na amewajengea na kuwafafhiri jwtz majengo Arusha hii unaifamu mkuu jingalao
 
Lugha na maudhui aliyotumia Lissu kuisema Chadema yake kuhusu Rushwa ndiyo mbinu alizokuwa anatumia Makonda kuichafua CCM,nini tofauti yake.
 
Lugha na maudhui aliyotumia Lissu kuisema Chadema yake kuhusu Rushwa ndiyo mbinu alizokuwa anatumia Makonda kuichafua CCM,nini tofauti yake.
Tofauti ipo kubwa sana yani Chadema mtu unaweza kukosoa unavyotaka ila CCM ukikosoa tu jambo, Unaitwa kamati kuu. Yani hakuna uhuru CCM.
 
Back
Top Bottom