P-Value Senior Member Dec 24, 2022 109 412 Apr 28, 2024 #1 Naomba kusaidiwa uelewa kwa uwekezaji wa 10M utt Amis faida yake na mfuo bora upi kwa mwezi, nusu mwaka au mwaka
Naomba kusaidiwa uelewa kwa uwekezaji wa 10M utt Amis faida yake na mfuo bora upi kwa mwezi, nusu mwaka au mwaka
K kiumbempole JF-Expert Member Jan 15, 2016 561 918 Apr 28, 2024 #2 Kwa siku unapata zaidi ya 2000, kwa hiyo utakuwa na elfu sitini fulani ya bure kila mwezi, bila kufanya chochote umekaa tu pato lako linakua
Kwa siku unapata zaidi ya 2000, kwa hiyo utakuwa na elfu sitini fulani ya bure kila mwezi, bila kufanya chochote umekaa tu pato lako linakua
Midekoo JF-Expert Member Mar 30, 2015 38,501 207,485 Apr 28, 2024 #3 Mfuko wa liquid Faida utapata Kama laki na Zaidi kidogo
P-Value Senior Member Dec 24, 2022 109 412 Apr 28, 2024 Thread starter #4 kiumbempole said: Kwa siku unapata zaidi ya 2000, kwa hiyo utakuwa na elfu sitini fulani ya bure kila mwezi, bila kufanya chochote umekaa tu pato lako linakua Click to expand... Shukurani ni mfuko upi bora wa uwekezaji huo wa 10M
kiumbempole said: Kwa siku unapata zaidi ya 2000, kwa hiyo utakuwa na elfu sitini fulani ya bure kila mwezi, bila kufanya chochote umekaa tu pato lako linakua Click to expand... Shukurani ni mfuko upi bora wa uwekezaji huo wa 10M
K11 JF-Expert Member Oct 15, 2014 2,577 8,157 Apr 28, 2024 #5 Hii biashara inawafaa wenye mzigo mkubwa tu.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 120,945 144,767 Apr 28, 2024 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
P-Value Senior Member Dec 24, 2022 109 412 Apr 28, 2024 Thread starter #7 Mideko said: Mfuko wa liquid Faida utapata Kama laki na Zaidi kidogo View attachment 2976137 Click to expand... Asante, huu wa liquid na bond upi wenye faida kubwa na bora kwa uwekezaji kwa mwezi/ mwaka au nusu mwaka kwa kiasi hicho
Mideko said: Mfuko wa liquid Faida utapata Kama laki na Zaidi kidogo View attachment 2976137 Click to expand... Asante, huu wa liquid na bond upi wenye faida kubwa na bora kwa uwekezaji kwa mwezi/ mwaka au nusu mwaka kwa kiasi hicho