Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
The next will be Mwigulu I think!
Chagonja na Kamuhanda...!
The next will be Mwigulu I think!
Prof anadeserve hii tunzo, mlitaka apewe mwizi wa wake za watu? go go prof,
Hizi tuzo zinapoteza maana kabisa! Juzi katoka msikitini kuhubiri shari, leo anapewa hongera kwa nishani! Ama kweli Tanzania kila kitu ni kinyume-nyume!
Huwa nachukizwa sana anapotajwa lipumba na cuf kisha nikaona uislam wangu unatajwa tajwa,nachukizwa sana na hali hiyo??
Watu ifikie hatua sasa wajaribu kuuacha uislam sehemu yake na wanasiasa sehemu yake,unless otherwise tutasababisha mpasuko m-baya sana kwenye jamii hii....

Prof anadeserve hii tunzo, mlitaka apewe mwizi wa wake za watu? go go prof,[/QUOTE hizi tuzo zishakua kama za kili.tutaona maajabu mengi hadi 2015.bado ya mwiguru na shonza
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.
My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga
Ni kweli Mkuu. Kama ni kweli, unadhani ni kwanini inakuwa hivyo? Hebu tupe maoni yako.
Hakuna kitu kibaya kama kufilisika kisiasa. Halafu eti anaipeleka JWTZ mahakamani. Huu ni utani wa mchana kweupe. Kama anasema Waislamu wanakuwa-treated kama second class citizens na kuawachochea wadai haki yao ya kuwa raia wa Tanzania, ni amani inazungumziwa? Hili li nchi bana! Aah!Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.
My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga
Mlitaka apewe Mbowe au Slaa? Kwa kipi? Kupiga mabomu wenzao@