Lipumba asema Maalim Seif amewasaliti Wazanzibar na watanzania. Adai kuacha chama sio suluhisho

Huyu mzee amewadhalilisha PHD holders wa Uchumi.

Hadi watoto wadogo wameshamdharau.

Sent using Jamii Forums mobile app

Prof lipumba alisema kuwa walishamfukuza Maalim Seif uanachama wa CUF, sasa usaliti kwa kuhamia ACT-Wazalendo umeibukaje tena? He had been declared that he was no longer a CUF member by Prof according to his own words, was he misquoted by the news media?
 
kuna ulazima huyu mzee atakapozungumza tena itabidi awekewe kwanza rekodi ya alichokizungumza mwanzoni.
jana alisema ya kwamba maalim seif walishamfukuza uanachama kupitia mkutano mkuu lakini leo amezungumza chengine.
empty set
Jamani muombeeni amazedka vibaya
 
Akiongea na DW Swahili mwenyekiti wa CUF kitendo Cha Maalim selif Shariff Hamad kuamia ACT Wazalendo Ni kuwasaliti Wazanzibar na wantazania kwa Ujumla kwa sio suluhisho la matatizo yaliyopo.
View attachment 1049898

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaaaaa huu mchezo hauhitaji hasira bana.. unajua ukizoea kujichukulia ujiko kwa mpinzania wako unamuonea kila siku unampiga masumbwi jamaa wanashangilia wakikusifia unajua kupigana kumbe unayepigana nae either hapendi au hana uwezo wa kupigana nawe siku akikuhama akaondoka kabisa ukakosa wa kupigana nae ya;le maujiko au sifa zote lazima zipotee huna wa kumpiga upate misifa mingine. Sasa naona Prof. anatafuta wa kumpiga masumbwi apate misifa amcheki Mtatiro kama vipi... Mwenzie amemuacha apambane na hali yake.
 
Akae vizuri ili sindano imuingie. Atulie agangwe maradhi si kitu. Alidahau kwamba "ukiujua huu, huu huujui". Tutasikia mengi.
 
Alikataa kuhongwa na Lowassa na akasema "dhamira inamsuta".
Lakini akaona fahari za kuhongwa Pombe iliyopo ndani ya Mtungi. Hivi Pumba hazina uislam ndani yake? Nilidhani ni haramu kuhongwa Pombe iliyohifadhiwa Mtungini!!
 
Akiongea na DW Swahili mwenyekiti wa CUF kitendo Cha Maalim selif Shariff Hamad kuamia ACT Wazalendo Ni kuwasaliti Wazanzibar na wantazania kwa Ujumla kwa sio suluhisho la matatizo yaliyopo.
View attachment 1049898

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili Prof Lipumba amelikoroga tena sana amesababisha migogoro CUF mwenyewe Msaliti ni yule anaye sababisha migogoro 2015 alisema amesiaafu siasa na kujiuzulu uwenyekiti wa CUF kumbe alifanya hivyo kwa mikakati maalum hiyo mikakati maalumu ndiyo ime sababisha migogoro CUF ''He is fooling us around''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom