Link ya music hapa fj inapatikanaje?

Chamkoroma

Senior Member
Sep 6, 2010
186
11
ndugu wapenda nawasalimia katika jina lipitalo majina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai, na ndugu zandu waislam, Salaam Aleykowasalam!
Ninakumbuka sn hapa palikuwa ni kitovu cha kupata misic ya kila aina, hasa ss vijana wa ninteen kweusi tuliburudika sn, je, ni link ipi itanipeleka kuupata music wa home kwetu, nakumbuka nilikuwa najiona kama nipo nyumbani japo nimekuwa nje ya TZ, kama hakuna mnaonaje kuurudisha tena ili cc wenzenu tunaokosa sauti za vijana wetu tuweze kuburudika kwa juhudi zenu wenzetu mlioko huko nyumbani kutuwekea kama zamani?
natanguliza shukrani zangu kama nitasikilizwa.
Regards:
chamkey.
 
Back
Top Bottom