CHADEMAWizi na hujuma za demokrasia nchini, haziwezi kudhibitiwa kwa maandamamano ya Lissu, Mbowe na Zitto. Lindi wameonesha mifano japo kwa asilimia 20% walitakiwa wafike 80% ya kudai democracy.
Kumbuka, CCM wanafaidika na wizi huo. Hawako tayari kuziachia faida hizo. Na wananchi nao hawako tayari kuandamana eti kisa kudai democracy. Yapaswa wale walioumizwa kuwatafuta wote waliowaumiza na kulipa kisasi, yaani malipo yawe hapahapa.
Kuna aliyewaapisha walinzi kulinda wasimamizi.
Kuna aliyenyima barua za mawakala
Kuna waliosimamia na kutekeleza walichoagizwa na yule wa kwanza.
Hawa wote yafaa wapate maumivu ya kuharibu uchaguzi. La sivyo mmewapa kibali cha kula mema ya Tanzania kwa miaka mitano tena. Na watafanya ni kawaida.
Lindi wameonesha njia
Hahaha uongo huu, juzi walisema Mtwara hali tete, leo wanatuletea habari za Lindi.
Mi nitasubiria kuona moto kwa macho yangu hapa Dar es Salaam, kama sitauona basi najua zote hizi ni story za kutengeneza.
Subiri uone picha kwani hili linawezekana ni propaganda.Watu wa Lindi mna nafasi yenu peponi.
Mama yako ndo alitufundisha kuvuta bhangi. Hata muda muda huu tunaye. Ili sisi tuache, kukata mzizi wa fitina, mwambie madheri wako aache kwanzaAchana na bangi tafadhari
Ka-clip pleaseTarime juzi wametuonyesha walipomshambulia yule mlevi!
Usifanye mchezo na umma.. Ukiona hivo ujue washachoka na ujinga wa watawala weziHao dawa yao ni kuwatandika fimbo na kifungo cha Maisha. Akili zao zinaendeshwa na Matako ya akina Zitto Kabwe, Tundu Lissu n.k.
Wananchi wa huko ndio wanajua kudai kura zaoMkuu wa Mkoa huo, Godfrey Zambi, ameyaeleza hayo mjini Lindi, alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na uharibifu uliofanywa wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 28, mwaka huu.
Watu hao wanadaiwa kufanya fujo kwa sababu ya kutoridhishwa na mwenendo wa uchaguzi ulivyokwenda, kutokana na kile kinachodaiwa kuhujumiwa, ikiwamo kuzuiliwa mawakala kuingia vituoni, ongezeko la vituo hewa vilivyo nje ya mfumo na vitambulisho vya kupigia kura.
Madai mengine ni kubadilishiwa matokeo ya ushindi ya mgombea aliyeshinda kupewa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Zambi alisema katika fujo hizo, magari zaidi ya saba kati ya hayo mawili ya polisi, majengo ya serikali pamoja na binafsi tisa na pikipiki moja, yaliharibiwa kwa kuchomwa moto.
Zambi alizitaja wilaya zilizoathirika kutokana na uharibifu huo ni Liwale, Nachingwea, Kilwa na Lindi katika Halmashauri ya Mtama.
Amesema Liwale magari zaidi ya saba, likiwamo la polisi na binafsi yaliyokodiwa kusaidia uchaguzi huo, yaliharibiwa, na kwamba nyumba mbili na magari matatu ya Mbunge mteule, Mohamed Kuchauka.
Imo pia zahanati ya Diwani mteule Kata ya Liwale Mjini, Omari Mkoyage na nyumba moja ya askari polisi.
Zambi alisema wilayani Nachingwea, magari matatu na nyumba, mali za Diwani mteule Ahamadi Makoroganya, gari moja la polisi na nyumba zimechomwa moto, huku jengo la Mahakama Wilaya limenusurika licha ya kuwamo kwenye orodha ya kutaka kuichoma.
Kwa mujibu wa Zambi, Halmashauri ya Mtama, watu hao walichoma moto majengo mawili, ikiwamo ofisi ya muda anayoitumia Mkurugenzi Mtendaji, Samuel Waryoba, Ofisi ya Serikali ya Kata ya Mtene na jengo la saluni la mtendaji wa kata hiyo.
Alisema Jeshi la Polisi linawashikilia watu kadhaa kwa ajili ya mahojiano, kwa lengo la kuwabaini waliohusika.
CHANZO: Nipashe | Mwandishi - Said Hamdani
RC wa Lindi mh. Zambi afanye propaganda ya hivyo?!Subiri uone picha kwani hili linawezekana ni propaganda.
Ni Hatari sana
If I can't see, it didn't happen.Revolution will not be televised..
Unasubiri kuuona moto aliowasha nani..????
Achana na udelicios tafadhariAchana na bangi tafadhari
Ila comments zako wee jamaa
Nakuumga mkono kwa asilimia zote. Haiwezekani kibaka mtaani akiiba achomwe moto halafu mtu akipora haki za watu aachwe akitamba mtaani. Mimi naona Bavicha ni vijana waoga sana. Kile walichofanya watu wa Lindi kilitakiwa kitokee nchi nzima ile siku ya tarehe 29. Magari ya serikali yachomwe moto, nyumba za wakurugenzi wa halmashauri zote zichomwe moto, ofisi zote za ccm nchi nzima ziyeketezwe kwa moto, ofisi za kata zichomwe moto, gari la polisi litakaloonekana mtaani lichomwe moto. Hapo ndipo yutaheshimiana. Sasa vijana wetu ni waoga mno, very disorganized, yaani jamaa wanatamba kana kwamba hakuna kitu kibaya walichokifanya. Hii haikubaliki.Wizi na hujuma za demokrasia nchini, haziwezi kudhibitiwa kwa maandamamano ya Lissu, Mbowe na Zitto. Lindi wameonesha mifano japo kwa asilimia 20% walitakiwa wafike 80% ya kudai democracy.
Kumbuka, CCM wanafaidika na wizi huo. Hawako tayari kuziachia faida hizo. Na wananchi nao hawako tayari kuandamana eti kisa kudai democracy. Yapaswa wale walioumizwa kuwatafuta wote waliowaumiza na kulipa kisasi, yaani malipo yawe hapahapa.
Kuna aliyewaapisha walinzi kulinda wasimamizi.
Kuna aliyenyima barua za mawakala
Kuna waliosimamia na kutekeleza walichoagizwa na yule wa kwanza.
Hawa wote yafaa wapate maumivu ya kuharibu uchaguzi. La sivyo mmewapa kibali cha kula mema ya Tanzania kwa miaka mitano tena. Na watafanya ni kawaida.
Lindi wameonesha njia