mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,851
Kama empirical formula iliyotumika Huko itaendelea kutumika maeneo mengine ustaarabu utarudi. Nchi hii ni nanii amekuja kuiharibu ndugu zanguni? SIASA NI NINI MANA YAKE?
Mbona wanapoomba kura wanapga hadi magoti?!mbona huwa wanyenyekevu?kwanini badae hutugeuka wananchi Na kuwa kitoweo chao? Siasa nini mana yake niambieni ndugu zangu?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app