ARV JF-Expert Member Sep 6, 2011 4,972 6,964 Jul 10, 2012 #1 Lilian Thuram alichezea Parma ya Italy kuanzia mwaka 1996 mpaka mwaka 2001. Alicheza mechi zaidi ya 200 na kufunga goli moja tu! Tena la kujifunga!
Lilian Thuram alichezea Parma ya Italy kuanzia mwaka 1996 mpaka mwaka 2001. Alicheza mechi zaidi ya 200 na kufunga goli moja tu! Tena la kujifunga!
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,023 54,309 Jul 11, 2012 #2 Mkuu nadhani hakuwa na bahati kbs mpaka akajifunga mwenyewe ndiyo rekodi yake.