tatizo KUBWA LA AZAM NI KWAMBA INPUT NI KUBWA KULIKO OUTPUTMatatizo ya Azam ni haya
1. Kubadilibadili benchi la ufundi! Kulikua na sababu gani kumtoa Stewart Hall?
2. Usajili waliofanya hawakuwa makini mfano sioni mchezaji aliyesajiliwa kama mbadala wa Kipre tchetche?
3. Majeruhi - Pasckal wawa na kapombe ni mhimili mkubwa mno kwenye safu ya ulinzi tangu ligi ianze wao na wengine ni majeruhi
4. Posho wachezaji wanalalamikia posho ambazo zimefutwa
5. Mfumo anaotumia muhispania huyu ni mgumu kueleweka na wachezaji hata lugha ni ngumu pia
Kwa maoni yangu haya ndio yanayowasumbua Azam
hahaa, baada ya kuja uwanjan ujamuona kwenye mazoez ndo ukagunduaUmeshatabiri uongo kabla mechi haijaanza, Tambwe hayupo kikosini, hata benchi pia hayupo
Hii comment nai reserve usije ukaikataa mwisho wa msimuVyovyote itakavyokua.. Simba S.C ni bingwa wa VPL msimu huu.. Hili halina mjadala kabisa.
Tupe link ya kucheki mpira online we mfuasi wa chademaHuyu Nyoni atagharimu timu mana anacheza rafu za kijinga
Tulia wewe..cheki kupitia Azam tv ni live bila chenga unashindwa ingia hata bar ukanywa soda au bia au upo nje ya mjiTupe link ya kucheki mpira online we mfuasi wa chadema
Tulia wewe..cheki kupitia Azam tv ni live bila chenga unashindwa ingia hata bar ukanywa soda au bia au upo nje ya mji
Sina linkLete link acha maneno maneno. Kama huna sema?
okwi anakuja?Hua nafikiri sana.. Hivi okwi akija itakuaje? Wapinzani inabidi wajiandae.
KADI Dk 24, Morris analambwa kadi ya njano baada ya kwenda kumuangusha Chirwa
Dk 23, Mudathir anapiga shuti kali kabisa la mpira wa adhabu, Dida anaokoa vizuri na kuwa kona ya kwanza ya Azam FC
Dk 16, mpira wa adhabu wa Juma Abdul, kichwa safi cha Chirwa lakini Aishi anaonyesha anaweza na kudaka vizuri kabisa
Mkuu umecheki jana mesiah the Unstoppable King Messi alichokifanya baada ya kuingia kama sub
Kufungwa nayo ni moja ya matokeo. Kwa wanaojua soka wanaelewa hilo.Hata kama Yanga mnacheza leo lazima mfungwe.
naitoa Saleh Jembe mkuumkuu kwa nini hujawai kuanzisha thread maana wengi huwa wanakimbilia halafu update kama hizi hawaziweki huwa wananishangaza sana