Licha ya watani(yanga) kuchezea kichapo, huu mkwanja unawahusu

Unajua maana ya pongezi na labda inavyotakiwa kutolewa kwa kumaanisha? Yanga ingepongezwa kama unavyotaka endapo basi hata mechi zake kadhaa tu za michuano hii ya Shirikisho ingeshinda angalau mechi moja au mbili au ivuke lakini kusema kuwa eti Yanga inatakiwa tuipongeze kwa hatua iliyofikia labda " wapuuzi " wasiojua mpira watakuunga mkono ila kwa " wachambuzi " tuliobobea hapo tunasema " work done zero ". Na Watu wa aina yako ndiyo mnayoiponza Yanga kwa kuipa sifa ambazo kimsingi hawana na matokeo yake wakienda nje tu ya Tanzania " wanachezea " tu vipondo. Jifunze sana kufanya analysis hasa ya mpira. Mimi ni Simba damu nadhani hakuna asiyenijua humu ila napenda kuzungumza mpira na siyo ushabiki. Muda wowote nitakuja na analysis yangu ya kuihusu Timu yangu ya Simba ambayo ukiisoma utajifunza vitu vingi. Yanga bado wana safari ndefu mno ila Simba tuna mtihani mgumu sana wa kufanikiwa kimpira lakini Azam naona wanachezea tu Shilingi chooni ambayo siku ikitumbukia watakuja kujuta.
Wewe ndo mpuuzi na hujui uchambuzi, halafu cha ajabu unajidhani wewe ndo mchambuzi

Ile inaitwa robo fainali sasa kama humpongezi mtu alo fika robo fainali kwenye shindano lolote hilo ni jambo la ajabu na najua lina weza fanywa na mtu kama wewe tuu

Sijakataa kuwa kimpira Yanga iko nyuma, ila nakupinga kuwa hatuhitaji kuwa sifia Yanga kwa kufika robo fainali wakati CAF wenyewe wanawapa kitita cha mamilioni wakijua mtu huyu kafika mbali na ana hitaji thamani flan hvi kubwa
 
You're pathetic dull.
 
I dont entertine ignorants and stupid proudts

Sasa Mimi na Wewe nani Stupid? Angalia hicho kiingereza chako hapo kibovu kisha jitafakari kama unaweza kushindana na Mimi " wordsmith " Hili neno la " entertine " umelitoa wapi? Inaonekana Kiingereza siku hizi kimeboreshwa.
 
I make mistakes but am not stupid and pretend to know everything as you
 
Sisi hatuhitaji sana huo mchanganuo wako wa fedha bali tunataka mafanikio ya kimpira kwa Klabu ya Yanga kwani tunachukizwa kila mara wao kuishia raundi hizi hizi za mapema. Tuache kufarijiana " kinafiki " please. Mafanikio ya Uwanjani yana heshima sana kwa Klabu na nchi kuliko hizo fedha. Yanga imefungwa period tusije tena na analysis za kipuuzi kama hizi.
chief, nakubaliana na wewe kwa 100%.

hata hivyo, katika watahiniwa 10 wa mwisho kwenye ranking ya matokeo ya mtihani anakuwepo aliye na afadhali kuliko wenziwe. mathalani kwa Tanzania...tangu CAF walipo-introduce champions league na confederation cup kutumia mfumo mpya na mgumu zaidi, Yanga ndiyo timu ya kwanza kucheza kwenye hatua ya 8 bora kwenye michuano yote 2.
 
I make mistakes but am not stupid and pretend to know everything as you

Hata Mimi sikupenda nizaliwe niwe hivi " Genius " nilivyo halafu Wewe ukawa JUHA hivyo ulivyo. Na siyo kuwa najifanya najua bali nikuhakikishe kuwa NINAJUA KWELI VITU VINGI na MAMBO MENGI na hicho ndicho kinanipa JEURI na DHARAU pia. au unataka nifanane na hiyo IQ yako ndogo Mkuu?
 
Hata Mimi sikupenda nizaliwe niwe hivi " Genius " nilivyo halafu Wewe ukawa **** hivyo ulivyo. Na siyo kuwa najifanya najua bali nikuhakikishe kuwa NINAJUA KWELI VITU VINGI na MAMBO MENGI na hicho ndicho kinanipa JEURI na DHARAU pia. au unataka nifanane na hiyo IQ yako ndogo Mkuu?
Unaandika pumba tupu, ukikua uta acha
 
Yanga bado wana safari ndefu mno ila Simba tuna mtihani mgumu sana wa kufanikiwa kimpira lakini Azam naona wanachezea tu Shilingi chooni ambayo siku ikitumbukia watakuja kujuta.[/FONT]

Mimi nadhani sisi Simba SC ndio wenye safari ndefu.

Hii inatokana na kuwa nyuma kwa kila kitu ukilinganisha na Yanga SC (kiubora) tuna mengi ambayo klabu inatakiwa kuyafanya ili kufikia yale makali yetu ya awali. Ndio maana naona bado tuna safari ndefu.

Na hao Yanga SC ndio wenye mtihani mkubwa.

Nasema hivi kwakuwa mitihani uliopo kwa Yanga SC ni kuhakikisha wanapaka wachezaji stahili kqa ajili ya kufanya vyema huko juu.
 
Sisi hatuhitaji sana huo mchanganuo wako wa fedha bali tunataka mafanikio ya kimpira kwa Klabu ya Yanga kwani tunachukizwa kila mara wao kuishia raundi hizi hizi za mapema. Tuache kufarijiana " kinafiki " please. Mafanikio ya Uwanjani yana heshima sana kwa Klabu na nchi kuliko hizo fedha. Yanga imefungwa period tusije tena na analysis za kipuuzi kama hizi.
Robo fainali ni Raundi ya mapema? acha unazi popoma
 
Back
Top Bottom