Lets talk about SEX Jf while am here

Jamani, this is spinning too fast for me, naenda kupumzika
Akinitafuta mtu mwambieni niko jukwaa la mapishi, it is safer.
 
Mods tafwadhalini sana msihamishe huu uzi kule kwenye jukwaa la ngono. Wengine hatuna aksesi huko.

watu wakubwa mnaleta mambo ya kikubwa hadharani!!!

Moderator uko busy au hupo humu?

I am following. Kama kuna EXPLICIT SEXUAL CONTENT please report the post and I will remove it. Kwa sasa nadhani sana sana inaweza hamishwa chit chat (if there is no topic debated by all participants).
 
heheeh na akiuliza unatoka wapi nazani jibu sahihi itakuwa "nyuma" si ndio my belavd erotica?

kwa sasa uzi upo katikati.

enhee tuendeleeni na mada wadau, kina kongosho, mwali , ze boss, bwanchuchu nakazalika
Sisi tupo tu, ila naona kitumbua kimeingia mchanga.
Kuna nungayembe amekuja kuvunja mood ya watu hapa.
 
Back
Top Bottom