Lets talk about Haja Kubwa

Hebu ntake radhi baba! Mi nimezaliwa na kuanza shule wakati mwl j k nyerere ni president wa tz! Ila mdingi alienda shule abroad, nadhani akaja na poti ( si unajua wakati ule tv na magari ilikuwa ni soo, mwalimu hakuruhusu)
Mkuu@King'asti kumbe wewe ni mtu mzima mwenzangu? hujambo lakini? mbona Avatar yako ya kijeshi umeitowa? Nime i miss sana ninakuomba uirudishe avatar yako......
 
Najaribi kumu-imagine mtoa mada akiwa anaitoa live huku namtizama, nahisi kucheka sana! Kunamaeneo nikipitaga sioni kale ka private room. Wananyeaga wapi? Its obvious hawana vyoo! Hili swala itabidi liingizwe kwenye katiba mpya manake watu wanajihatarishia na wanawahatarishia wengine maisha kwa kipindipindu!
 
Mphamvu :
1. Mavi magumu husababisha "haemorroids".. Hivi ni vivimbe ambavyo tiba yake ni ya kupaka mkunduni.. Vikiwa sugu,huitaji upasuaji mdogo. Kuepuka ni kula matunda kama ndizi na mapapai,na vyakula asili ya "legumes"

2. Fanya utafiti zaidi,kwani mi mlaji sana wa pilipili na sijapata tatizo lolote ninapokunya..

Thanks kwa nyongeza yako gambachovu,
kuhusu pilipili mimi binafsi nimeshapatwa na hayo matatizo, na usaili wangu kwa watu kadhaa umeonesha majibu sawia na hypothesis zangu, ndio maana nikawa na kibri cha kuweka wazi hapa, labda member wengine nao watupe uzoefu wao juu ya pilipili na haja kubwa.
 
Last edited by a moderator:
Hapa rafiki yangu Mzizi Mkavu haoni ndani

Aaah mkuu?
I ain't no doctor dude. Nimeandika haya kutokana na uzoefu tu, afu usidharau ugali kwa pilau la sikukuu.
MziziMkavu ni all time doctor wa humu JF Doctor, akishirikiana na Riwa, Mupirocin na wengine wa kada yao, hata baadhi ya vipengele kwenye andiko langu nimenukuu kwao hao.
My shout out to them.
 
Last edited by a moderator:
haya wakuu kweli choo ni muhimu sana lakini kuna makabila fulani fulani yanatabia yakutokuamini kama choo ni muhimu au kinyaa cha kutumia maji wanatumia majani, karatasi, etc.
 
Mphamvu,
Umenichekesha......ohhh asante sana.
Mada nzuri, na muhimu
Halafu unajua kujisaidia haja kubwa ni kama vile kuna add energy mwilini---I'm telling you people do not need energy drinks, they just need to use the bathroom more frequently....
 
Haja kubwa ni starehe bila gharama, ila upate sehemu nzuri tu ya kujisitiri, na wala isiwe haja ya uharo.
 
Na unashauiwa kuwa ili uweze kujisaidia kwa raha ni vizuri utumie choo cha kuchuchumaa badala ya kukaa kwani tofauti na kile cha kukaa cha kuchuchumaa husababisha sphincter zitanuke kwa utaratibu unaotakiwa na hali itakayokufanya ujisikie vizuri wakatii kinyesi kinashuka.

Thank you very much Consigliere.
Hapo juu nimesema tu kuwa napenda vyoo vya kuchutama kwa sababu ya comfortability nayoipata, sikufahamu kama kuna sababu za kitaalamu.
 
Last edited by a moderator:
Mamake kitu unaekwa miguuni unachanuliwa unashusha mambo...

Oyee kwa wa mama wa kipind kile mana walitufundisha had na kujitawaza ktk umri mdogo sana tofaut na vitoto vya sasa vya wipes na toi pepa.
 
Back
Top Bottom