Mm wa 7 nicomment vp? Nisaidie jiraniSasa kwa familia zingine unakuta weww ni wa 11 kati ya 13 unafanyaje hapa?
Jirani hapo sijui nikuweke wapi ndiyo maana nikauliza swali.Mm wa 7 nicomment vp? Nisaidie jirani
Akikujibu na mm utaniandikia on behalfJirani hapo sijui nikuweke wapi ndiyo maana nikauliza swali.
Acha tuone mtoa mada atasemaje