Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,783
- 819
HAa!? kwani yeye ni Tippu Tip !Rostam Aziz anapendwa sana na watun wake IGUNGA , Tabora. Sijui huo ufisadi ulitoka wapi. Sisi hatutaki Zanzibar lakini kama nyinyi munamtaka, yule ni mfanya biashara atatafuta soko lakuuza kila musichokitaka.