Leteni historia ya Elimu ya Primary na Secondary ya Prof. Mbarawa labda tutajua shida ipo wapi

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Wizara zinazotesa wananchi sana zinahusiana na historia ya Elimu ya Secondary na Shule ya msingi. Sasa Professor anataka kuuza Bandari hebu mwenye taarifa zake alete hapa. Ili next time tuchague viongozi sahihi kwa kuangalia elimu ya primary na secondary.

JANUARY MKAMBA
Alisoma kama Private Candidates pale EKENFORD Secondary. Iliyokuwa Inasifika kuiba mitihani. (QT)

NAPE NAUYE
Historia yake ni ya kuungaunga Kwanzia certificate au Diploma mdogo mdogo mpaka Chuo kikuu India.

DR. Mwigulu Nchemba
Mwigulu kutumia majina ambayo si yake olevel huko akajikongoja Enzi zile ya Waziri Kapuya wakati paper zinaibiwa sana. Akapiga mpaka Ilibolu kasusua kidogo bachelor. Masters akapasua. Matokeo yake kama wave yanapanda na kushuka.
 
Watanzania hamna kitu mnaweza fanya dunia hii zaidi ya zinaa, uchawi na umbeya tu bas!

Acheni watu wafanye kazi, bora tu turudi kwenye menejimenti za kukodi sie tubakie kujadili habari za simba na Yanga.. habari za kina paula na upuuzi mwingine.
Sema Mimi,upuuzi wako usituchanganye na watanzania wengine
 
DR. Mwigulu Nchemba
Mwigulu kutumia majina ambayo si yake olevel huko akajikongoja
Japo kweli katumia majina bandia lakini ni kichwa cha ukweli cha Ilboru Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli
Enzi zile ya Waziri Kapuya wakati paper zinaibiwa sana. Akapiga mpaka Ilibolu kasusua kidogo bachelor. Masters akapasua. Matokeo yake kama wave yanapanda na kushuka.
Sii kweli, hajawahi kusua sua ametoka na Div 1 kali Ilboru, akatoka na 1st class UDSM, akaunga masters na kuchukuliwa na BOT.

Prof. Mbarawa pia is good Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P
 
Japo kweli katumia majina bandia lakini ni kichwa cha ukweli cha Ilboru Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Sii kweli, hajawahi kusua sua ametoka na Div 1 kali Ilboru, akatoka na 1st class UDSM, akaunga masters na kuchukuliwa na BOT.

Prof. Mbarawa pia is good Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P
Kwahiyo Pascal Njaa unakubali mkataba wa miaka 100 kwa Bilioni 500?? Tuanzie hapa
 
Japo kweli katumia majina bandia lakini ni kichwa cha ukweli cha Ilboru Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Sii kweli, hajawahi kusua sua ametoka na Div 1 kali Ilboru, akatoka na 1st class UDSM, akaunga masters na kuchukuliwa na BOT.

Prof. Mbarawa pia is good Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P
Eti paskali njaa kuna kiongoz yoyote ambae yupo madarakan umewah kumkosoa katika jambo kubwa lenye maslah kwa taifa? Kama rais anasoma humu watu kama wew hawafai kupewa uongoz wowote ndio mnaishia kummisdirect rais kwa njaa za kijinga na Mungu anawaona mtakuja ishia pabaya . Kwann usifie tuu nna nna mashaka na jinsia yako pumbav sana. We huonagi makosa ya ccm wenzio ? Are u real a man?
 
Wizara zinazotesa wananchi sana zinahusiana na historia ya Elimu ya Secondary na Shule ya msingi. Sasa Professor anataka kuuza Bandari hebu mwenye taarifa zake alete hapa. Ili next time tuchague viongozi sahihi kwa kuangalia elimu ya primary na secondary.

JANUARY MKAMBA
Alisoma kama Private Candidates pale EKENFORD Secondary. Iliyokuwa Inasifika kuiba mitihani. (QT)

NAPE NAUYE
Historia yake ni ya kuungaunga Kwanzia certificate au Diploma mdogo mdogo mpaka Chuo kikuu India.

DR. Mwigulu Nchemba
Mwigulu kutumia majina ambayo si yake olevel huko akajikongoja Enzi zile ya Waziri Kapuya wakati paper zinaibiwa sana. Akapiga mpaka Ilibolu kasusua kidogo bachelor. Masters akapasua. Matokeo yake kama wave yanapanda na kushuka.
Tukiacha unafiki ,mwigulu kwa waliosoma naye mazengo (EGM kama sijakosea) wanasema alikuwa wa moto sana kichwani,ni vile ukiingia kwa siasa huwezi kwepa lawama na kudharirika,
Kuhusu kurudia shule kwa majina ya watu wengine,hapo zamani ilikuwa kitu cha kawaida sana
 
ni kweli kabisa shule zilikuwa chache hivyo kuleta ushindani mkubwa.wengi tulirudia zaidi ya mara moja ili kukizi kiu yetu.kwa wakati huo kurudia shule halikuwa jambo geni na wala halikuwa baya bali ni kutafuta fursa tu.nakubaliana mwigulu hata kama alitumia majina bandia lkn alikuwa kichwa sana na tuliosoma naye pale Ilboru tunamjua.na tulikuwa na kauli mbiu yetu pale education for service.
 
Watanzania hamna kitu mnaweza fanya dunia hii zaidi ya zinaa, uchawi na umbeya tu bas!

Acheni watu wafanye kazi, bora tu turudi kwenye menejimenti za kukodi sie tubakie kujadili habari za simba na Yanga.. habari za kina paula na upuuzi mwingine.
Bungeni tunafafijika sana kuwaona wasani bongo fleva bongo movie tu

Hoja za ndani tupa kule

Ova
 
Japo kweli katumia majina bandia lakini ni kichwa cha ukweli cha Ilboru Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Sii kweli, hajawahi kusua sua ametoka na Div 1 kali Ilboru, akatoka na 1st class UDSM, akaunga masters na kuchukuliwa na BOT.

Prof. Mbarawa pia is good Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P
Kuna wale watu watu wajuaji discussion nyingi halafu Kuna wale wanafuata ratiba ya michezo kula na kufaulu.
Huyu ndio yule shule mtu. Anatumia nguvu nyingi kwa kusoma. Mbona high level Hana one 3 au?
 
Back
Top Bottom