Let us be honest here…!

Egyps-women

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
498
106
Distance love ...

Kama binadamu viungo vyote vya mwili viko active na nyie mko mbali mbali labda mnaonana lets say kila baada ya 6month to 1 year
Kuna wakati unajisikia ku- do ile maneno na inakuwa ni vere vere serious ...

Mnafanyaje waungwana??
 
Hivi huwezi kaa mwaka eeh? Hata miaka miwili?
Uaminifu ni kama dini, aidha ni muumini au lah! hakuna vugu vugu.
(Just thinking loud)
 
mapenzi ya mbali go against the very essence of a relationship...wich is intimacy.
 
Namsubiria as long as she is nt staying thea forever bz fo me ku-do sio one of my habitual routine kiviiile.
 
Ukikutana live na hiyo situation wala huta leta mada hapa, you will just solve it to your entire satisfaction.
 
Back
Top Bottom