- Thread starter
- #61
Hiki kiatu kama kimekutosha ww kivae tu hamna namnaaIla kuna watu mnawadharau sana walimu! Na katika hili, mnatakiwa kujitafakari.
Yaani kwa mtaji wa milioni 5, tena ya kukopa bila shaka! Milioni 5 hiyo hiyo itumike kupangia ofisi, kununulia samani chache za ofisi, ikalipie leseni ya biashara BOT na ile ya Halmashauri, ikalipie kodi ya mapato TRA!
Halafu milioni 5 hiyo hiyo iwe na uwezo wa kuwakopesha mpaka walimu!! Tena walimu wenye access ya kukopa salary advance kila mwezi kwa riba ya 5% tu!! Kuweni serious aisee.