Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
losambo mbona sikujui hebu jiintroduce kidogo bwana nikupe hugKwa hiyo mkuki kumbe kwa nguruwe.
losambo mbona sikujui hebu jiintroduce kidogo bwana nikupe hugKwa hiyo mkuki kumbe kwa nguruwe.
Blaki kaavator kako mmmmmh, mkoloni naye we acha tu.
ha haa haaa hujambo wewe?
upoo?
MMU members ni 18
chit chat members 4.. tu..
tatizo ni umeme tu?au networks pia?
au kuna lingine?
sio kawaida ya jf....
Ila kuna watu wana wivu wivu sana humu.
Mimi nimechelewa kutia timu kidogo nilikuwa natoa ushauri nasaha kwa ndoa flani ambayo imesambaratika zaidi baada ya mimi kuhuzuria. Nipeni pole greti thinkaz
Nimesibitisha leo kama wanawake wana mapepo kweli kamanda, nimeenda kusuluhisha kadada kamevaa kimini na kitop kitovu nje, heheeh lawyer nikapoteza mwelekeo nikaanza kukapendelea kadada, njemba ikazua sheshe la kufa mtu. Nimezima simuduh.....lol.....
ushauri nasaha au kuimalizia kabisa?lol...
skuenda kuzamia nilienda kusuluhisha, halaf mzembe nilivaa sunglass baada ya kupewa ulaji wa kusuluhisha, lakini nimeharibulawyer umekuwa mzamiaji..........au ulienda kuhakikisha kama kweli anaolewa
skuenda kuzamia nilienda kusuluhisha, halaf mzembe nilivaa sunglass baada ya kupewa ulaji wa kusuluhisha, lakini nimeharibu[/QUOTE
Mh.
merry krismass honeyskuenda kuzamia nilienda kusuluhisha, halaf mzembe nilivaa sunglass baada ya kupewa ulaji wa kusuluhisha, lakini nimeharibu[/QUOTE
Mh.
love u with all my nose mwaaaaMimi nimechelewa kutia timu kidogo nilikuwa natoa ushauri nasaha kwa ndoa flani ambayo imesambaratika zaidi baada ya mimi kuhuzuria. Nipeni pole greti thinkaz
Dah! leo nimeamka na zali la pentagon, tumsubirie sweetlady alog off tutaongea kwa kituo kabisalove u with all my nose mwaaaa
Happy new year darling.
How are you?
So well and sweet, with u around me, what else can u guess?
Halaf leo kuna mzembe namlamba kibuti kwa ajili yako. Kupenda marazi wajameni
Nimesibitisha leo kama wanawake wana mapepo kweli kamanda, nimeenda kusuluhisha kadada kamevaa kimini na kitop kitovu nje, heheeh lawyer nikapoteza mwelekeo nikaanza kukapendelea kadada, njemba ikazua sheshe la kufa mtu. Nimezima simu