Leo taifa linaenda kupata aibu

IMG_20230319_101538.jpg
usije kufikiri yanga atafungwa leo, bookies/Vegas hawajawahi kukosea odds.
Na ukiona odds kubwa imetoa tambua hiyo match ni fixing
 
Ushindi wa jana unawalevya makolo wengi wanajikuta wanaandika utumbo mwingi humu jukwaani. Nashauri mods waweke limits hawa mbogo maji wamelewa na uhakika baada ya siku mbili wakirudi kusoma wanacho andika watakimbia jukwaa la michezo wiki nzima
Mbona Yanga Mnaandika Sana Mpaka Mnajitoa Akili ID Mpya Mara Horoya FC
Mara Vipers FC Hujaliona Hilo Hapa JF Ama Ndiyo Unajifanya Upo Mirembe Mental Hospital, Dodoma, Lutindi Mental Hospital Korogwe
 
Tuwe wazalendo...

Mafanikio ya Simba au Yanga kimataifa husomeka kama mafanikio ya timu na pia ya taifa...

Ndio maana utaona kufanikiwa kwa timu moja, kunazibeba na nyinginezo kiasi cha taifa kupewa nafasi zaidi za upendeleo...
 
Tuwe wazalendo...

Mafanikio ya Simba au Yanga kimataifa husomeka kama mafanikio ya timu na pia ya taifa...

Ndio maana utaona kufanikiwa kwa ti.u moja, kunazibeba na nyinginezo kiasi cha taifa kupewa nafasi zaidi za upendeleo...
Kuna sehemu za kuwa mzalendo sio kwa utpolo
 
Naangalia marudio ya mechi ya simba na horoya jana, aisee wasipokuwa makini wanapigwa tena 7,, mpaka muda huu washakula 3, mpira ni half time
 
Baaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka kwa vyura wa Jangwani yaani Utopolo max

Sasa kwa siku ya leo ndugu watanzania na wapenzi wa mchezo wa mpira wa miguu kuna Timu kongwe inaenda kutuaibisha
Kama kuna mtu anabisha tukutane hapa hapa saa tatu usiku baada ya kufungwa na waarabu wenye hasira kali

Na hamtofuzu kwenda robo fainali maana mkienda lubumbashi mtarudi na aibu nyingine ya kufungia mwaka

Ila jana lilipigwa bori kashata miksa masotojo alafu yule chama Chelsea, Man U anacheza vizuri tu na hakuna wa kumuweka benchi

Mimi ni Shabiki wa Lunyasi!

View attachment 2557516
Kuwa mzalendo,unaenda kuzibika wewe🤔
 
Japo Yanga Ni Snitch Ila Leo Tunawaombea Walete Ushindi Wa Kishindo
Waache Ubabaifu Maana Timu Yao Yenyewe Ni Kama Genge La Wahuni Wachache
Kututakia kheri na matusi,juu hapo sijui umepata baraka au laana🤔
 
Kututakia kheri na matusi,juu hapo sijui umepata baraka au laana🤔
Serikali Jana Imepata Burdani Boll Itembee, Pira Samba Loketo, Pira Biriani
Vyumba Tu Jana Taifa Limetulia Tuli.



Leo Sasa Mtani Najua Pira Mihogo, Pasi Temeke Mpira Unakwenda Kuangukia Majohe
Ila Pamoja Na Pira Mihogo, Pira Sukari Na Ugali Leteni Ushindi
 
Back
Top Bottom