Leo Nimeziba!!!!!!!!!!!! Drostdy Grand Cru 5ltrs Noma!

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
wakuu jana nilinunua Drostdy Hof Grand Cru wine ya Litre TAno!
leo toka asubuhi baada ya breakfast nikaanza kuinyonya..dah!
mpaka sasa niko ziiib! nina rahaje!!! Jumapili hii!!!!!
 
Siwapendi masharobaro! lakini huu wimbo wa Mr.Blue unanihusu leo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, nimelewa tilalila! nimekunywa tilalila! nimelewa tilalila! x 2
 
Mwanaume utakunywaje wine bhana! kha! .....piga ki2 spirit.
POPOBAWA.
 
Back
Top Bottom